Umeshawahi ku date na mwanaume wa hivi?

Umeshawahi ku date na mwanaume wa hivi?

Mwanaume ambae ukiachana nae anakwambia nirudishie vitu vyangu vyote nilivyokununulia 😂 utasema alikununulia vitu vya mamilioni kumbe ulikua unamvumilia tu na umasikini wake.
Alafu vitu alivyokununulia unaweza kumlipa ata mara 10 yake.
Mbona umeuma sana we rudisha vitu na nyongeza alafu muombe Mungu akuepushe na shetani kama hilo
 
Si ndio urudishe energy nilioipoteza kwako kisha na wewe utaitafuta namna ya kurudisha hiyo yako.... maana utakuwa unaleta nadharia za kipuuzi hili tu kukomeshana.
Kwa sababu mie situmii energy🤔
 
Hela yenyewe ya kununulia sabufa anayo basi
Rudisha vitu vya watu
Wewe kama una hiyo hela ulipokea vya nn?
Si ungenunua mwenyewe

Ukiona unalalamika hadi unaandika humu jf jua umeumia moyon
 
Tapika vitu vya watu..Acha siasa za maji taka.
 
Mwanaume ambae ukiachana nae anakwambia nirudishie vitu vyangu vyote nilivyokununulia 😂 utasema alikununulia vitu vya mamilioni kumbe ulikua unamvumilia tu na umasikini wake.
Alafu vitu alivyokununulia unaweza kumlipa ata mara 10 yake.
Si urudishe unakaa navyo vya nini , wanawake nyie bana wazulumati sana
 
Rudisha vitu vya watu
Wewe kama una hiyo hela ulipokea vya nn?
Si ungenunua mwenyewe

Ukiona unalalamika hadi unaandika humu jf jua umeumia moyon
Najua anakasirika nisiporudisha lengo langu akasirike mpaka apasuke
 
Mwanaume ambae ukiachana nae anakwambia nirudishie vitu vyangu vyote nilivyokununulia 😂 utasema alikununulia vitu vya mamilioni kumbe ulikua unamvumilia tu na umasikini wake.
Alafu vitu alivyokununulia unaweza kumlipa ata mara 10 yake.
Ww rudisha 2 vitu vya watu. Kama una uwezo wa kurudisha Mara 10. Kwann unaomba msaada wa mawazo hapa.....?
Shame on you
 
Back
Top Bottom