Umeshawahi kuachana na mpenzi wako kwa sababu umeona mahusiano yenu "hayatofika mbali" (hamjagombana kabisa)

Si kila mpenda ngono ana mapepo
 
Si kila mpenda ngono ana mapepo
Lazima uwe na pepo maana huko ni kupita kiasi. Ni sawa na kusema napenda kula tayari huo ni ulafi au uroho. Na ulafi au uroho hiyo ni dhambi tayari. Hata kama mume na mke meoana, kila saa namfanya, sebuleni, jikoni, bafuni yaani kila saa mnafanya. Hiyo nyumba inageuka kuwa danguro na hakuna baraka zozote mtakazozipata kutoka kwa Mungu. Hiii kupenda ngono ndiyo maana vitoto vya siku miaka 5 tu vinavyojua wazazi wao wanachofanya usiku.
 
mimi niliachana nae sababu nilipima uelekeo wangu wa kuja kuoa uko mbele nikaona nna safari ndefu sana, ilikua 2013, niliachana nae kimyakimya japo alnitafuta sana lakn nilijitaidi kupunguza mawasiliano nae, kweli kama nilijua vile baada ya miezi 6 kaenda kutolewa posa kwao na akaolewa, now ana watoto wawili. alikua msataarabu sana na mpole, naweza kosea mimi akaomba msamaha yeye, kwasababu nlikua nampenda sikuona haja ya kuendelea kumpotezea mda wake.Now bado pia ata kuoa sija oa.
 
Umechukulia negative

Mungu alipomuumba mwanaume anapenda kufanya mapenzi na anaweza fanya hata kila siku basi uwe na uhakika alimpa mwanamke pia uwezo wa kuhimili hayo mahitaji ya mumewe

kila mtu atafte wa kufanana nae

wapo wanaume pia wasiopenda kufanya likewise wanawake..sampuli zote zipo
Hujui wanaume wanaonyimwa unyumba?.
 
aisee huyo wa pili labda hukumwelewa.


mimi kapo kamoja kalikuwa kanakuja home kanakuta yale mabranketi mazito ya kitandani nabadili leo kakija hili kesho lille.kakauliza hivi haya madude mkorinto nitakuwa nafuaje ukinioa??nikaipotezea nikijua hamaanishi.

sasa tabu ikaanza mara zote kakija ni only for sex,kanakula chakula cha kununua,kanalala na asubuhi sana kanaaga,hamna kufua,kuosha vyombo wala kufagia nyumba.

nikaona hapa nitajipiga gwara acha nivunje mkataba.
 
Acha uzwazwa, kundinyana tena wanandoa hiyo n halali, ndoa ni baraka na iheshimiwe.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] alikupa kazi za ziada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…