Umeshawahi kuachana na mpenzi wako kwa sababu umeona mahusiano yenu "hayatofika mbali" (hamjagombana kabisa)

Umeshawahi kuachana na mpenzi wako kwa sababu umeona mahusiano yenu "hayatofika mbali" (hamjagombana kabisa)

Mtu anayependa ngono huyo tayari anapepo la ngono na atakusaliti tu wala haipingiki hata kama anakupenda sana sababu hamu ikimshika lazima afanye ngono ili atulize pepo lake. Kila mtu anafanya au ameshawi kufanya ngono ila linapokuja suala la kupenda ngono tayari hapo upo kwenye ulimwengu mwingine. Sasa mtu hawezi kukaa hata wiki moja bila kufanya ngono, sasa huyo atavumilia kweli hata kama anakupenda? Big NO
Si kila mpenda ngono ana mapepo
 
Si kila mpenda ngono ana mapepo
Lazima uwe na pepo maana huko ni kupita kiasi. Ni sawa na kusema napenda kula tayari huo ni ulafi au uroho. Na ulafi au uroho hiyo ni dhambi tayari. Hata kama mume na mke meoana, kila saa namfanya, sebuleni, jikoni, bafuni yaani kila saa mnafanya. Hiyo nyumba inageuka kuwa danguro na hakuna baraka zozote mtakazozipata kutoka kwa Mungu. Hiii kupenda ngono ndiyo maana vitoto vya siku miaka 5 tu vinavyojua wazazi wao wanachofanya usiku.
 
mimi niliachana nae sababu nilipima uelekeo wangu wa kuja kuoa uko mbele nikaona nna safari ndefu sana, ilikua 2013, niliachana nae kimyakimya japo alnitafuta sana lakn nilijitaidi kupunguza mawasiliano nae, kweli kama nilijua vile baada ya miezi 6 kaenda kutolewa posa kwao na akaolewa, now ana watoto wawili. alikua msataarabu sana na mpole, naweza kosea mimi akaomba msamaha yeye, kwasababu nlikua nampenda sikuona haja ya kuendelea kumpotezea mda wake.Now bado pia ata kuoa sija oa.
 
Lazima uwe na pepo maana huko ni kupita kiasi. Ni sawa na kusema napenda kula tayari huo ni ulafi au uroho. Na ulafi au uroho hiyo ni dhambi tayari. Hata kama mume na mke meoana, kila saa namfanya, sebuleni, jikoni, bafuni yaani kila saa mnafanya. Hiyo nyumba inageuka kuwa danguro na hakuna baraka zozote mtakazozipata kutoka kwa Mungu. Hiii kupenda ngono ndiyo maana vitoto vya siku miaka 5 tu vinavyojua wazazi wao wanachofanya usiku.
Umechukulia negative

Mungu alipomuumba mwanaume anapenda kufanya mapenzi na anaweza fanya hata kila siku basi uwe na uhakika alimpa mwanamke pia uwezo wa kuhimili hayo mahitaji ya mumewe

kila mtu atafte wa kufanana nae

wapo wanaume pia wasiopenda kufanya likewise wanawake..sampuli zote zipo
Hujui wanaume wanaonyimwa unyumba?.
 
aisee huyo wa pili labda hukumwelewa.

mimi kapo kamoja kalikuwa kanakuja home kanakuta yale mabranketi mazito ya kitandani nabadili leo kakija hili kesho lille.kakauliza hivi haya madude mkorinto nitakuwa nafuaje ukinioa??nikaipotezea nikijua hamaanishi.

sasa tabu ikaanza mara zote kakija ni only for sex,kanakula chakula cha kununua,kanalala na asubuhi sana kanaaga,hamna kufua,kuosha vyombo wala kufagia nyumba.

nikaona hapa nitajipiga gwara acha nivunje mkataba.
 
Acha uzwazwa, kundinyana tena wanandoa hiyo n halali, ndoa ni baraka na iheshimiwe.
Lazima uwe na pepo maana huko ni kupita kiasi. Ni sawa na kusema napenda kula tayari huo ni ulafi au uroho. Na ulafi au uroho hiyo ni dhambi tayari. Hata kama mume na mke meoana, kila saa namfanya, sebuleni, jikoni, bafuni yaani kila saa mnafanya. Hiyo nyumba inageuka kuwa danguro na hakuna baraka zozote mtakazozipata kutoka kwa Mungu. Hiii kupenda ngono ndiyo maana vitoto vya siku miaka 5 tu vinavyojua wazazi wao wanachofanya usiku.
 
Wakati nikiwa kijana kama nyie niliwahi kupendana na binti mrembo. Yule binti alikuwa freak katika mambo ya usafi. Tuliwahi kukaa pamoja wakati tuko chuoni nje ya nchi. Basi ilikuwa taabu ile kupenda kwake usafi kupita kiasi. Akimaliza kutumia sink anafuta kwa kitambaa ili kusibaki tone la maji. Nikikata ndevu zangu akakuta kaudevu kamoja kamebaki kwenye sink ama tone la maji limerukia kwenye sakafu ilikuwa ni ugomvi mkubwa sana. Nikikaa kwenye kitanda nikitoka, ilibidi nipige pasi ile sehemu niliyokuwa nimekaa inyooke! Nikaona hapa nitakufa kabla ya siku zangu. Baada ya chuo, nilikata mawasiliano kimya kimya... Ni mrembo lakini mpaka leo hajaolewa - miaka yake 40 na kitu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] alikupa kazi za ziada
 
Back
Top Bottom