Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Hapo mtu akikaza anaonekana mkaxiUpo sahihi, na kuna baadhi ya wanaume wana tabia hiyo pia!! It's pathetic..!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo mtu akikaza anaonekana mkaxiUpo sahihi, na kuna baadhi ya wanaume wana tabia hiyo pia!! It's pathetic..!!
Hapana isiwe toomuch utafikili kapoteza kizibo bana....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] si mnasemaga kujamba ni fahari ya mapenzi...eti mnaaminiana sana.
Si kila mpenda ngono ana mapepoMtu anayependa ngono huyo tayari anapepo la ngono na atakusaliti tu wala haipingiki hata kama anakupenda sana sababu hamu ikimshika lazima afanye ngono ili atulize pepo lake. Kila mtu anafanya au ameshawi kufanya ngono ila linapokuja suala la kupenda ngono tayari hapo upo kwenye ulimwengu mwingine. Sasa mtu hawezi kukaa hata wiki moja bila kufanya ngono, sasa huyo atavumilia kweli hata kama anakupenda? Big NO
Side games? [emoji41][emoji39]Very often mhusika akiwepo
😛😛😛😛Side games? [emoji41][emoji39]
...that laughter![emoji14][emoji14][emoji14][emoji14]
Lazima uwe na pepo maana huko ni kupita kiasi. Ni sawa na kusema napenda kula tayari huo ni ulafi au uroho. Na ulafi au uroho hiyo ni dhambi tayari. Hata kama mume na mke meoana, kila saa namfanya, sebuleni, jikoni, bafuni yaani kila saa mnafanya. Hiyo nyumba inageuka kuwa danguro na hakuna baraka zozote mtakazozipata kutoka kwa Mungu. Hiii kupenda ngono ndiyo maana vitoto vya siku miaka 5 tu vinavyojua wazazi wao wanachofanya usiku.Si kila mpenda ngono ana mapepo
Umechukulia negativeLazima uwe na pepo maana huko ni kupita kiasi. Ni sawa na kusema napenda kula tayari huo ni ulafi au uroho. Na ulafi au uroho hiyo ni dhambi tayari. Hata kama mume na mke meoana, kila saa namfanya, sebuleni, jikoni, bafuni yaani kila saa mnafanya. Hiyo nyumba inageuka kuwa danguro na hakuna baraka zozote mtakazozipata kutoka kwa Mungu. Hiii kupenda ngono ndiyo maana vitoto vya siku miaka 5 tu vinavyojua wazazi wao wanachofanya usiku.
una bahati wewe hadi raha yaniiii [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Lazima uwe na pepo maana huko ni kupita kiasi. Ni sawa na kusema napenda kula tayari huo ni ulafi au uroho. Na ulafi au uroho hiyo ni dhambi tayari. Hata kama mume na mke meoana, kila saa namfanya, sebuleni, jikoni, bafuni yaani kila saa mnafanya. Hiyo nyumba inageuka kuwa danguro na hakuna baraka zozote mtakazozipata kutoka kwa Mungu. Hiii kupenda ngono ndiyo maana vitoto vya siku miaka 5 tu vinavyojua wazazi wao wanachofanya usiku.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] alikupa kazi za ziadaWakati nikiwa kijana kama nyie niliwahi kupendana na binti mrembo. Yule binti alikuwa freak katika mambo ya usafi. Tuliwahi kukaa pamoja wakati tuko chuoni nje ya nchi. Basi ilikuwa taabu ile kupenda kwake usafi kupita kiasi. Akimaliza kutumia sink anafuta kwa kitambaa ili kusibaki tone la maji. Nikikata ndevu zangu akakuta kaudevu kamoja kamebaki kwenye sink ama tone la maji limerukia kwenye sakafu ilikuwa ni ugomvi mkubwa sana. Nikikaa kwenye kitanda nikitoka, ilibidi nipige pasi ile sehemu niliyokuwa nimekaa inyooke! Nikaona hapa nitakufa kabla ya siku zangu. Baada ya chuo, nilikata mawasiliano kimya kimya... Ni mrembo lakini mpaka leo hajaolewa - miaka yake 40 na kitu.
Nenda buchaniNyama hazitoshi mimi sijashiba
Nimeshakua baharia Tena..mweeh..Baharia bwana