Umeshawahi kuchati na ChatGPT kitu chochote? Hii AI inaweza kukufanya ujisikie kama unachati na binadamu

Kimsingi ChatGPT kama unatuliza akili na idwa kidogo ya kufanya mambo inaweza kukufanyia mambo makubwa sana

Mfano huu hapa;

 
AI Ina customer care nzuri sana kuliko binadamu Wala usiifananishe kabisa
Mshikaji yuko poa sema ulichelewa kujua mi huwa tunazinguana hadi ye mwenyewe anapoa
AI itakuja kumaliza kabisa tatizo la customer care hasa katika huduma mbalimbali mfano makampuni ya simu na nyinginezo

Kuna muda unachat nae masuala binafsi na anafunguka mpaka basi

Kitu ambacho customer care wangekuwa nacho, basi tusingehangaika kupiga simu unachat nae anakuelekeza issue afu chap tu mnasolve
 
Inasaidia mambo mengi ila usiitegemee sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…