Hahahahaha,imekaa vzr sanaAI zina raha sanaaaa😂😂😂😂
Play store, download ChatgptHii chat naipataje mkuu? Naona wazungu wanazidi kuturoga.
Oga Bhoke na AI wametisha
OK. Sawa mkuu. Kuna siku nilisikia mtu anaiongelea lakini sikumuelewa. Sasa ngoja niipakue nianze kuifanyia kazi.Play store, download Chatgpt
Iko vzr sana,ina msaada mkubwa tuOK. Sawa mkuu. Kuna siku nilisikia mtu anaiongelea lakini sikumuelewa. Sasa ngoja niipakue nianze kuifanyia kazi.
Huyu mkurya kasahau kubold😂😂😂Oga Bhoke na AI wametisha
HahahahahaHuyu mkurya kasahau kubold😂😂😂
Hii chat naipataje mkuu? Naona wazungu wanazidi kuturoga.
Mkuu kuna moja nimeipata hapa playstore wananitaka ni sign up kwanza. Kwani kuna ulazima wa ku sign up?Iko vzr sana,ina msaada mkubwa tu