Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,958
- 183,574
Hebu nifundishe kwanza kuchat na hilo dude.Shindi kama shindi kawadanganye waliosinzia shindikanaa wangu
Hebu nifundishe kwanza kuchat na hilo dude.Shindi kama shindi kawadanganye waliosinzia shindikanaa wangu
Karibu bia shindikanaa na ngoma tamuHebu nifundishe kwanza kuchat na hilo dude.
Kupelekapesa kwenye pesa shindii😆Nipe bando kwanza.
Huh! 😳😳😳Kupelekapesa kwenye pesa shindii😆
Kwa nini usifunge WiFi shindii ?Nipe bando kwanza.
With time tutakuja kulipia hizi huduma lakini machale yananiambia ivyo. Nothing is free under the sun even the greetings has payment,none can greet you for freeSave WhatsApp uanze kuchat.
Mwanangu kumbe umebadili jina😆Utoto raha, haya mambo hata mwanangu ameshaacha kufanya
Nimebadili mwanangu, ila kuna kenge ameiba ID yangu ya zamani. Mods wamegoma kuifutaWanangu kumbe umebadili jina😆
Pole sana asije tu kupost nyuzi za kijinga jinga🤔Nimebadili mwanangu, ila kuna kenge ameiba ID yangu ya zamani. Mods wamegoma kuifuta
Anapost shudu sana, hata watu walionisanua ni baada ya kuona mbona huu ujinga sio wangu?!!Pole sana asije tu kupost nyuzi za kijinga jinga🤔
Pole bro inabidi upambane akatiliwe mbali🤣🤣Anapost shudu sana, hata watu walionisanua ni baada ya kuona mbona huu ujinga sio wangu?!!
Upo mdada wa viti virefu😁Dah watu wamevurugwa🇹🇿😂😂😂😂