πΉπΉπΉ Nitaenda Uturuki kukitoa wala sinywi migongo iliyopitishwa na serikali mimi..!!Utapata kitambi na hiyo misosi π unywe nyagi wewe
Kwa hiyo unataka kusema bro wetu Evelyn Salt anazingua?ππΉπΉπΉ Nitaenda Uturuki kukitoa wala sinywi migongo iliyopitishwa na serikali mimi..!!
Huyu ni raisi wa majobless mkuuIntelligent businessman acha kujifungia ndani kuangalia series, ukiwa mpweke jiliwaze na ChatGpt π
Edo kissy
Huyo ni kichaa ana mineno kuntu πΉπΉNipo Mkuu
Karibu tupate biaπππ
Huu Uzi umenichekesha sana. Sikujua kama akili Mnemba ana vituko kiasi hicho .
Km kawaida yako, hujamuuliza mambo ya kuwanga usiku..!! πΉπΉπππ
ChatGpt ni msaada mkubwa sana hata kama ni tafsiri ya ndoto inakupa tafsiri inayoeleweka.
Mhmmmm. Mimi lini nishakukwanza? KaoneHuyo ni kichaa ana mineno kuntu πΉπΉ
Kuna siku aliniroast angekua karibu ningemkoa kwenziβ¦!! Sijawahi kuambiwa ukweli wa kuudhi km ule πΉπΉπ€£
Ni bei gani kuifunga? Na ukifunga ndio basi au nailipia tena?Kwa nini usifunge WiFi shindii ?
π€£π€£π€£π€£shindikanaa Kufunga WiFi ulizia ni bei gani uniambie nijue nachangia mia ngap hapoπ
Hahaha usinichukulie poa shindiiiπ π ππ€£π€£π€£π€£
Aah wewe hapana, kaongoπ€£π€£π€£π€£
Kumbe ID hua zinaibiwa?Nimebadili mwanangu, ila kuna kenge ameiba ID yangu ya zamani. Mods wamegoma kuifuta
Ni unalipia au ni free?Play store, download Chatgpt
ππππππππππππΏHuyo ni kichaa ana mineno kuntu πΉπΉ
Kuna siku aliniroast angekua karibu ningemkoa kwenziβ¦!! Sijawahi kuambiwa ukweli wa kuudhi km ule πΉπΉπ€£
KhaaaaπππππππΏNikiwaletea yangu mtacheka mfe, kuna siku limeniita we shangingi mzima? πΉπΉπΉ
πππππππππππππΏ
π€£π€£π€£π€£ shindiii kaongoooo!Hahaha usinichukulie poa shindiiiπ π π