Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 15,507
- 34,689
Kwa ajili ya kumbukumbuMkuu kuna moja nimeipata hapa playstore wananitaka ni sign up kwanza. Kwani kuna ulazima wa ku sign up?
Kwa ajili ya kumbukumbuMkuu kuna moja nimeipata hapa playstore wananitaka ni sign up kwanza. Kwani kuna ulazima wa ku sign up?
Mwambie siku aku roast based on Last prompt 🤣🤣🤣utaleta mrejesho hapa
Nipo MkuuUpo mdada wa viti virefu😁
Wewe ni mzuri sana unapata bia viunga vya wapi aseee🤔Nipo Mkuu
Karibu tupate bia😂😂😂
Huu Uzi umenichekesha sana. Sikujua kama akili Mnemba ana vituko kiasi hicho .
ephen_ Vincenzo @Mahondaw [URL unfurl= "true" media="youtube:fxbcCYVT2pA"]
View: https://youtu.be/fxbcCYVT2pA?si=ihciXu3lpJT6B8hZ[/URL]
Mhmmmm wewe tangu lini ukakosa bando?Bundle?
LeoMhmmmm wewe tangu lini ukakosa bando?
Na mimi napumua tu bado?😅😅😅
JishangaeNa mimi napumua tu bado?😅😅😅
Unataka la sh ngap ephen?Jishangae
Indeed a very useless generation
Kuna siku nimechart nae siku nzima, nika muingiza kingi ya dirty chart... Hadi nikakosa mbususu ya kweli 😅😅Mwambie siku aku roast based on Last prompt 🤣🤣🤣utaleta mrejesho hapa
NomaKwenyw tech wazungu wametushika masaburi, yani hakuna namna tunachomoka.
Kuna META AI nayo iko poa sana sema kwa kizungu tu, yaani mnachat as if mpo washkaji..
Tajiri la ccm vipi bwasheeIndeed a very useless generation
Kumbe umefungua mama ntilie 😜Kuna muda anauchizi
Kuna siku nikamuita “mwanangu” akanisalimia shikamoo. View attachment 3381133