Umeshawahi kuchoka kula nyama? Wapenda nyama tukutane hapa

Umeshawahi kuchoka kula nyama? Wapenda nyama tukutane hapa

Ahsante.
Huwa tunaiyeyusha na wine.
Punguza ndugu..hasa nyama nyekundu ni hatari kwa afya..unaweza kuanza kupunguza kwa kuzidisha samaki samaki na kuku..nyama nyekundu iwe mara moja moja sana..ukila nyama kitu muhimu ni parachichi sio wine..parachichi ndilo linaloondoa uric acid ambayo umeila kwenye nyama na ndio huleta shida kubwa ya tumbo.
 
Daaah!! Mie chakula chochote siwezi fululiza kula, nakinai.
 
Samaki nipo selective sana mpaka aungwe na nazi au soup ya samaki tu.

Huwa sipendi wa kukaanga wala kuungwa na nyanya tu.
Mimi nikienda sehemu ambayo Mimi ni mgeni siwezi nunua nyama maana naogopa kula nyama za wanyama wasio liwa kama Mbwa, paka, fisi, N.K


Lakini samaki napenda Sana Naweza fululiza Sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom