Umeshawahi kuchoka kula nyama? Wapenda nyama tukutane hapa

Huyu mrembo Culture Me anajenga hoja ya kama kungekuwa na madhara basi Wamasai na Wamang'ati wangepukutioa sana, sasa sijui ameegemea upande gani mpaka akafikia hitimisho hili.
Ameegemea upande wa uhalisia na sio nadharia, hao watajwa wanakula tena mbichi, kwa muktadha huo basi kusingekuwepo na hiyo jamii kabisaa.
 
Madhara unayapimaje bibie au unayaweka nafasi gani ? Mpaka watu/wahusika wafe au ?
 
Acha tule nyama nyeupe au nazo zina madhara ? Kama zina madhara niambie bibie.
Nyama, majani, nafaka, maji vyote vina madhara, muhimu usile kitu usije ukadhurika ukafa, bado nakuhitaji aisee.
 
Kufa ni suala la muda tu, naweza nisile hivyo nikafa,cha msingi tuombe salama tukutane peponi uwe mke wangu huko huko tuishi milele, daima dawamu.

Almuhimu kuna samaki watamu mno, na wale panya (Wataalamu wanasema na yeye ni miongoni mwa nyama nyeupe) ndiyo balaa.
 
Hata Konokono, Chura na Jongoo pia,
Ushawahi kunywa supu ya washa washa au konokono?

Hatari fireee.[emoji39]
 
Sijawahi, nimekunywa ya Kasa ilikuwa kusini huko, supu tamu balaa.

Hivyo vitu si wanakula sana Wachina huko ? Ndiyo maana madhara mukubwa huanza kuwakuta wao, siyo kila kiliwacho kinafaa kuliwa.

Unamjua Kasa ?
 
Kasa na Konokono hawana tofauti kwa utamu wa nyama zao,
Nasema konokono na jongoo wa baharini kama umekula Kasa hata hao si vibaya kuonja, [emoji38]
 
Hao nakuachia wewe ule, utanisimulia au kama ushakula nisimulie. Vitu vingine huwa vinanoga ukivisikia tu kwa watu.
 
Back
Top Bottom