Umeshawahi kuchoka kula nyama? Wapenda nyama tukutane hapa

Nilifuliza kula mdudu nusu kwa siku moja kwa kila wiki katika wiki tatu. Kuna jamaa akasema hiyo si nzuri kiafya bado kidogo nimzabe kibao huwa sipendi mtu ailaumu nyama kwa magoniwa yake binafsi ebo!
 
  • Thanks
Reactions: amu
Kitimoto huli?

Acha nikuhurumie tu mimi naweza kula kuku na kitimoto daily bila kuchoka ila zingine siwezi kula mara kwa mara.
 
Yaani baada ya kula kama siku ileee??? Unaikumbuka au nikukumbushe?
View attachment 1469960

Niko kwenye dozi ni mwendo wa Kei kama kawaida.... yaani Kokakola....

Utanipa?

Babu naomba location ya hiki kiota, rona ameshaondoka nataka nianze tabia ya kuzunguka kuonja mapishi na ladha kadha wa kadha.

Nangwisaaa...
 
Mimi nyama hata kuirudia siku moja hiohio nachoka. Nikila mara moja kama mchana tu au usiku tu. Mimi Bora Nile vegetables na maharage tu kuliko nyama kila siku.

Chakula kikikosa maharage pembeni aseeeeh nakula basi tu .

Cc Smart911
 
Maharage toka nina mimba yalinikataa kiungulia kikali sana.
Nimejiungua napo hivo hivo kiungulia kikali sana.

Imepelekea automatically tu ninayasogeza pembeni.
 
Kitimoto huli?

Acha nikuhurumie tu mimi naweza kula kuku na kitimoto daily bila kuchoka ila zingine siwezi kula mara kwa mara.
Comment yangu ya kwanza kabisaaa niliitaja.
Moderator sijui ni muislam kaifuta.
 
Nilifuliza kula mdudu nusu kwa siku moja kwa kila wiki katika wiki tatu. Kuna jamaa akasema hiyo si nzuri kiafya bado kidogo nimzabe kibao huwa sipendi mtu ailaumu nyama kwa magoniwa yake binafsi ebo!
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]Waache kusingizia nyama mambo ya ajabu ajabu
 
Back
Top Bottom