digba sowey
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,926
- 17,880
Mimi ilishawahi kunikinai,ajira yangu ya kwanza nilipangiwa Lindi liwale,ikumbukwe kule hifadhi ya taifa ya selious imepita.
Ile nafika tu kesho yake nafuatwa na watumishi.wenzangu kuwa kuna nguruwe pori kafa sehemu twende kukanunue,pia ikumbukwe wakazi wa liwale ni waisilamu kwa asilimia kubwa hivyo ilikuwa wakiua nguruwe pori wanatuletea sisi,bwana wewe kwa hamu niliyokuwa nayo nilinunua paja na kukaanga,nilikula wiki nzima
Kiufupi ilikuwa haipiti siku hujala nyama,Mara nyati,tembo ,pundamilia ,swala ndo usiseme,kilo takribani tano unauziwa kwa sh 5000/= tu ,ilifikia kipindi nyama ilinichosha nikawa sina hamu tena
I miss those moments