Culture Me
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 10,490
- 21,398
Ameegemea upande wa uhalisia na sio nadharia, hao watajwa wanakula tena mbichi, kwa muktadha huo basi kusingekuwepo na hiyo jamii kabisaa.Huyu mrembo Culture Me anajenga hoja ya kama kungekuwa na madhara basi Wamasai na Wamang'ati wangepukutioa sana, sasa sijui ameegemea upande gani mpaka akafikia hitimisho hili.
Madhara unayapimaje bibie au unayaweka nafasi gani ? Mpaka watu/wahusika wafe au ?Ameegemea upande wa uhalisia na sio nadharia, hao watajwa wanakula tena mbichi, kwa muktadha huo basi kusingekuwepo na hiyo jamii kabisaa.
Hivi samaki nayo ni nyama ? Acha tule samaki na mboga za majani.Hakunaaa, wewe kula tuuuuu
tuma location basiYaani wewe tena? Yaani kamata uber kwa gharama zangu...
Hakikisha unakuja without kabisa ili utamu ukikolea tusipoteze muda...
Hiyo ni PM kule. Ukiweka hapa, wale wasiojulikana hawachelewi kuvamia shoo...tuma location basi
Samaki na Kuku ni nyama nyeupe (white meat)Hivi samaki nayo ni nyama ? Acha tule samaki na mboga za majani.
Waumwe au wafe,Madhara unayapimaje bibie au unayaweka nafasi gani ? Mpaka watu/wahusika wafe au ?
Acha tule nyama nyeupe au nazo zina madhara ? Kama zina madhara niambie bibie.Samaki na Kuku ni nyama nyeupe (white meat)
Ng'ombe, Mbuzi, Fisi, Mamba, lol ni nyama nyekundu (red meat)
Yenye madhara ni yenye kudhuru mwili kimaana na kihisia. Yaani siyo lazima watu wafe.Waumwe au wafe,
Au wewe unayawekaje Sheikh.
Nyama, majani, nafaka, maji vyote vina madhara, muhimu usile kitu usije ukadhurika ukafa, bado nakuhitaji aisee.Acha tule nyama nyeupe au nazo zina madhara ? Kama zina madhara niambie bibie.
Kufa ni suala la muda tu, naweza nisile hivyo nikafa,cha msingi tuombe salama tukutane peponi uwe mke wangu huko huko tuishi milele, daima dawamu.Nyama, majani, nafaka, maji vyote vina madhara, muhimu usile kitu usije ukadhurika ukafa, bado nakuhitaji aisee.
Hata Konokono, Chura na Jongoo pia,Kufa ni suala la muda tu, naweza nisile hivyo nikafa,cha msingi tuombe salama tukutane peponi uwe mke wangu huko huko tuishi milele, daima dawamu.
Almuhimu kuna samaki watamu mno, na wale panya (Wataalamu wanasema na yeye ni miongoni mwa nyama nyeupe) ndiyo balaa.
Sijawahi, nimekunywa ya Kasa ilikuwa kusini huko, supu tamu balaa.Hata Konokono, Chura na Jongoo pia,
Ushawahi kunywa supu ya washa washa au konokono?
Hatari fireee.[emoji39]
Kasa na Konokono hawana tofauti kwa utamu wa nyama zao,Sijawahi, nimekunywa ya Kasa ilikuwa kusini huko, supu tamu balaa.
Hivyo vitu si wanakula sana Wachina huko ? Ndiyo maana madhara mukubwa huanza kuwakuta wao, siyo kila kiliwacho kinafaa kuliwa.
Unamjua Kasa ?
Hao nakuachia wewe ule, utanisimulia au kama ushakula nisimulie. Vitu vingine huwa vinanoga ukivisikia tu kwa watu.Kasa na Konokono hawana tofauti kwa utamu wa nyama zao,
Nasema konokono na jongoo wa baharini kama umekula Kasa hata hao si vibaya kuonja, [emoji38]
Kumbi kumbi umekula lakiniHao nakuachia wewe ule, utanisimulia au kama ushakula nisimulie. Vitu vingine huwa vinanoga ukivisikia tu kwa watu.
Nimekula sana, wako vizuri mno.Kumbi kumbi umekula lakini
Ushawahi kula panya ?Kumbi kumbi umekula lakini
Ushawahi kula chura?Ushawahi kula panya ?
Yuck, sijawahi na siwezi [emoji1785]Ushawahi kula panya ?