kadiri kasimba
JF-Expert Member
- Jul 23, 2022
- 588
- 1,150
Haha! Pole sana mkuu..Usinikumbushe kaka,hilo tukio limenikuta hata wiki haijapita, nilipiga ugimbi nikapitiwa na usingizi na simu sikuweka paswod, basi kapekuwa na simu kawapigia wameongea, wamenisema me nimelala, hivi navyoandika hapa niko single.. Mke kanikimbia na mchepuko hanitaki.. Tena wamekuwa marafiki..
Haha! Pole sana mkuu..
Aise pole sana mkuu! Inamaana hayazungumziki? Shemeji kakaza?Usinikumbushe kaka,hilo tukio limenikuta hata wiki haijapita, nilipiga ugimbi nikapitiwa na usingizi na simu sikuweka paswod, basi kapekuwa na simu kawapigia wameongea, wamenisema me nimelala, hivi navyoandika hapa niko single.. Mke kanikimbia na mchepuko hanitaki.. Tena wamekuwa marafiki..
Mkuu Mimi sijafumwa, ila nimeleta hii mada kushare experience wa Haya mambo huwa ikitokea nini hufanyika Kwa mwanaume au mwanamkeUna umri gani?
BAli hii huitwaje?Kukutwa na ujumbe wowote wa kielektroniki wa kimapenzi au ngono sio kufumaniwaπΌ
Duh na yakaisha kbs?2023 nimechat wee tumepeana location nikaenda oga, kumbe sikufuta chat. Natoka bafuni nakuta mtu yuko na simu anaondoka zake na mtoto, pamoja na hayo nilikataa maana kesho yake nili renew line zangu maisha yakaendea na simu nikamwachia. Kwenye kesi nikasema sijui ni nini aliona kwenye simu
Mkuu umetukosea heshima.Habari za majukumu wakuu?
Husika na kichwa Cha habari hapo juu, umeshawahi kukutwa na sms, au calls za mchepuko wako uwe unachati au alichat, uwe uliongea nae au umekutwa live ukiongea nae kwenye simu na mwenza wako? Iwe wa ndoa au unaeishi nae?
Je ilikuwaje?
Je ulisolve vipi?
1.)ulikiri na Kuomba msamaha yaishe?
2.)uligoma mwanzo mwisho? Japo ushaidi upo?
3.)au alikuwa mkali ghafla na kupotezea mada?
Karibuni wakuu tushee mauzoefu,,,,,,,,,,
πππππππKwanza usikubali kosa
Hata unikute uchi nasema alikuwa anataka anichome sindano huyu ni nurse
Ndio na tumeongeza mtotoDuh na yakaisha kbs?
Nikimchana kuwa hayuko peke yake so atulize wenge, wikiend nikampeleka dubai nikamtia mimba huko hukoHabari za majukumu wakuu?
Husika na kichwa Cha habari hapo juu, umeshawahi kukutwa na sms, au calls za mchepuko wako uwe unachati au alichat, uwe uliongea nae au umekutwa live ukiongea nae kwenye simu na mwenza wako? Iwe wa ndoa au unaeishi nae?
Je ilikuwaje?
Je ulisolve vipi?
1.)ulikiri na Kuomba msamaha yaishe?
2.)uligoma mwanzo mwisho? Japo ushaidi upo?
3.)au alikuwa mkali ghafla na kupotezea mada?
Karibuni wakuu tushee mauzoefu,,,,,,,,,,
Kwa Mimi mkuu, ilishanitokea ila yaliisha niliwahi kuacha simu ikiwa on maana simu yangu huwa natumia face lock na kulikuwa na sms zenye ukakasi zaidi ya nne ss wakati najiandaa kwenda kuoga,niliacha simu ikiwa haijajilock na yeye alivyoona hivyo akaiwahi bila Mimi kujua na kuanza kuingia upande wa sms, saiyo Mimi nimeshaenda kuoga, narudi kutoka kuoga naona mtu kavimba Kwa hasira na akaanza kuniuliza kuhusu hizo sms, kilichoniokoa nilimbadilikia na kumwambia ni lini umeanza kupekua simu yangu, nikawa mkali na nikamuuliza Mimi nimewahi kupokea simu Yako?Mkuu umetukosea heshima.
Mada kama hizi lazima uanze mwenyewe kujitia kitanzi ndiyo wachangiaji wakuone ni mwenzao.
Anza kuweka mkasa wako kwanza, uone watu watakavyotiririka!
Kusema tueleze siri zetu bila kujiweka wazi wewe kwanza, waweza kuwa unataka kushamirisha furaha yako kwa mawazo ya wengine huku wewe hauna cha kusimulia.
Hongera sana mkuu!Ndio na tumeongeza mtoto