Unakosea wapi mpaka ufumaniwe?Habari za majukumu wakuu?
Husika na kichwa Cha habari hapo juu, umeshawahi kukutwa na sms, au calls za mchepuko wako uwe unachati au alichat, uwe uliongea nae au umekutwa live ukiongea nae kwenye simu na mwenza wako? Iwe wa ndoa au unaeishi nae?
Je ilikuwaje?
Je ulisolve vipi?
1.)ulikiri na Kuomba msamaha yaishe?
2.)uligoma mwanzo mwisho? Japo ushaidi upo?
3.)au alikuwa mkali ghafla na kupotezea mada?
Karibuni wakuu tushee mauzoefu,,,,,,,,,,
Tutake radhi plsNaona milayaz mnashauriana jinsi ya kuwa toxic baada ya kufumaniwa.
Kosa huja ghafla km chafya mkuu!Unakosea wapi mpaka ufumaniwe?