Umeshawahi kufumaniwa Kwa sms,calls za mchepuko wako, na mwennza wako? Je ulimaliza vipi huo msala?

Umeshawahi kufumaniwa Kwa sms,calls za mchepuko wako, na mwennza wako? Je ulimaliza vipi huo msala?

Mambo yamerahisihwa kwa sasa ukikutwa na sms ambayo ulitaka iwe siri wewe sema hiyo AI.
 
Usinikumbushe kaka,hilo tukio limenikuta hata wiki haijapita, nilipiga ugimbi nikapitiwa na usingizi na simu sikuweka paswod, basi kapekuwa na simu kawapigia wameongea, wamenisema me nimelala, hivi navyoandika hapa niko single.. Mke kanikimbia na mchepuko hanitaki.. Tena wamekuwa marafiki..
familia
 
Habari za majukumu wakuu?

Husika na kichwa Cha habari hapo juu, umeshawahi kukutwa na sms, au calls za mchepuko wako uwe unachati au alichat, uwe uliongea nae au umekutwa live ukiongea nae kwenye simu na mwenza wako? Iwe wa ndoa au unaeishi nae?
Je ilikuwaje?
Je ulisolve vipi?
1.)ulikiri na Kuomba msamaha yaishe?
2.)uligoma mwanzo mwisho? Japo ushaidi upo?
3.)au alikuwa mkali ghafla na kupotezea mada?
Karibuni wakuu tushee mauzoefu,
Kufumaniwa inaweza isiwe shida ila shida itakuja kuonekana pale tu mwenza wako;-
Atalipokea vipi jambo.
Atalitafakuri vipi jambo.
na
Uchukuaji wake wa hatua katika jambo.

Mimi labda niseme kitu hapa Leo. Katika Dunia ya Sasa watu wengi huingia katika ndoa wakiwa bado hawako tayari kwa maisha ndoa hali ambayo hupelekea kushindwa kuhimili changamoto zilizomo ndani yake.

Wanaume tuna utoto ambao huwa hautuishi mpaka kufariki kwetu. Nini nataka kusema,Iko hivi siku zote nikiwa kama mtoto wa kiume niliekamilika nikiikosa Furaha ndani ya nyumba ni lazima nikaitafute nje na kwa kusema hivi Sina maana kwamba ni Sahihi kufanya hivyo La! Hasha, tunafanya hivyo ili kuilinda ndoa kwa kuepuka kuingia katika gomvi zisizo na ulazima. Na hii mara nyingi hutokea kwa sababu;-
Visa mauti na kutojua baadhi ya Mambo.
Mwanamke kuwa na Sauti.
Unyumba wa kujiamlia, na mengineyo.

Najibu swali lako Sasa.
Mwanamke akifumania jumbe zako na mchepuko wako anapaswa ajifunze kupitia Yale uyapatayo kutoka kwa mchepuko kwa mantiki kwamba ndani hayapatikani na ndiyo maana nikayatafuta nje. Na hii ndiyo itakuwa salama ya ndoa na si kuchukua hatua zingine sababu hazitaleta Afya katika ndoa yenu.
Mwanamke akiona hii njia ya yeye kujifunza kupitia uyapatayo kutoka kwa mchepuko ni ngumu basi aendelee 'Kunywa mtori ndizi atazikuta chini'.
Ahsante kwa kuzingatia kwako.

NB: Usioe/Usiolewe kama hauko tayari kwa maisha ya ndoa.
 
Naona kama nimepewa funzo la muda na nachunguzwa, huwenda nikasamehewa ila mwanamke yeye kaenda kwao mbali na ninapoishi, cha kushangaza mchepuko ndo kapewa kazi ya kunimonitor kila nachofanya taarifa zinamfikia wife huko, yan nimeamua kuish maisha matakatifu yawezekana yakaisha
Comment hii nimecheka kifala isee.
Yaani mchepuko kafanywa informer!

Hii kali, sijawahi kuisikia pahala!

Anataka avunje ndoa aolewe yeye sasa!
 
Comment hii nimecheka kifala isee.
Yaani mchepuko kafanywa informer!

Hii kali, sijawahi kuisikia pahala!

Anataka avunje ndoa aolewe yeye sasa!
Dunia ina mengi ndugu, hata mimi sikutegemea, ila nilikuja kuamini baada ya wife kuondoka ili kuondoa stress nkampgia mchepuko ili tuonane si akamwambia wife yote, tena wanaitana dada.
 
Kukutwa na ujumbe wowote wa kielektroniki wa kimapenzi au ngono sio kufumaniwa🐼
Mkuu hujawahi kufuma msg za ngono wewe!

Watu wametiana, sasa wanasherehekea kwa kupongezana, siyo fumanizi hilo!

Mkuu ni heri uwafume live, siyo kufuma msg, unaweza ukatimua mwenza bila kutoa nafasi ya kufanya usuluhishi, maana ni aibu sana.

Vinginevyo omba Mungu aje akuue bila kukutana na huo mkasa, maumivu yake hayabebeki.
 
Habari za majukumu wakuu?

Husika na kichwa Cha habari hapo juu, umeshawahi kukutwa na sms, au calls za mchepuko wako uwe unachati au alichat, uwe uliongea nae au umekutwa live ukiongea nae kwenye simu na mwenza wako? Iwe wa ndoa au unaeishi nae?
Je ilikuwaje?
Je ulisolve vipi?
1.)ulikiri na Kuomba msamaha yaishe?
2.)uligoma mwanzo mwisho? Japo ushaidi upo?
3.)au alikuwa mkali ghafla na kupotezea mada?
Karibuni wakuu tushee mauzoefu,,,,,,,,,,
Tubu na uahidi kubadilika yaishe.
Au tubu na kuiamini injili, kanisani kwa sanaaa mpaka mkeo arejeshe imani
 
Mkuu hujawahi kufuma msg za ngono wewe!

Watu wametiana, sasa wanasherehekea kwa kupongezana, siyo fumanizi hilo!

Mkuu ni heri uwafume live, siyo kufuma msg, unaweza ukatimua mwenza bila kutoa nafasi ya kufanya usuluhishi, maana ni aibu sana.

Vinginevyo omba Mungu aje akuue bila kukutana na huo mkasa, maumivu yake hayabebeki.
Ah hii ni mbaya kuliko, afu unakuta mkeo amekuponda htr Kwa mchepuko wake!
 
Habari za majukumu wakuu?

Husika na kichwa Cha habari hapo juu, umeshawahi kukutwa na sms, au calls za mchepuko wako uwe unachati au alichat, uwe uliongea nae au umekutwa live ukiongea nae kwenye simu na mwenza wako? Iwe wa ndoa au unaeishi nae?
Je ilikuwaje?
Je ulisolve vipi?
1.)ulikiri na Kuomba msamaha yaishe?
2.)uligoma mwanzo mwisho? Japo ushaidi upo?
3.)au alikuwa mkali ghafla na kupotezea mada?
Karibuni wakuu tushee mauzoefu,,,,,,,,,,
Hili limenitokea saana mpaka nimekua mzoefu. na ndo kinakuaga chanzo cha mahusiano yangu kufa, maana sijawahi kuomba msamaha hata kama ushahidi upo. atatafutiw sababu tu ya kumdanganya, akibisha nakua mkali. namwambia kama huniamini bora tuachane.. Kila ukinikuta jua ninachati na ngwimba mpya, na ninakiporo cha x.. natamani hata niweke screen shots na voice records ili uelewe ninacho maanisha. Jana nimelala saa nane usiku, penzi lilikua linateketea hvohvo na ni jipya hiyo, tatizo fumanizi.
 
Mkuu jaribu kubadilika ujue kadri unavyoendelea na hiyo tabia ndo unavyozidi kuwa master plan, lkn amini siku akikuchoka na kusema basi ujue ndo imetoka na mara nyingi wanovumilia ni wale aina ya wanawake ambao ni tegemezi, au wale wa miaka ya 2000- Hawa wa 2000 plus aise panachimbika!
 
me kubadilika ni ngumu maana ninauhakika nipo sahihi. Wanawake wanavitabia flan hivi hua vinatunyima raha. Hata kama anakupenda kwa dhati, ukigundua anavitabia lazima upendo upungue. Na hii dunia ilivo na sifa za kijinga ni pale tu unagundua vitabia vya kukera kwa mpenzi wako, hua anatokea mbadala wake na nimzuri mara tano ya huyo mpenzi wako. Unategemea nitafanya nini hapo mzee, bado sijakata tambuu. Lazma mtu achitiwe tu. hakuna namna
 
Bro mimi ilinikuta live. Niko home jioni, niko na bi mkubwa tunatazama movie, sa simu yangu ikaingia message ya WhatsApp – lakini ile preview ikasomeka:

"Baby wangu ulivyonitomb..... jana nilihisi kama nakufa, raha kama nipo peponi... 😘"

Bro! Maji yalizidi unga.

Mama akauliza, "Huyu baby wako ni nani?" Nikajifanya sijui, nikasema labda ni mtu ame-mistake number. Akasema, "Fungua usome." Nikajifanya kama message haijakaa sawa, nikasema "network inazingua" 😂.

Lakini muda si mrefu, mchepuko akaanza kupiga simu juu ya ile message. Mama akaona jina: "Mrembo - Mlimani". Hapo mchezo ulibadilika.
Vita iliwaka bro. Kilichoendelea ni kama sinema – simu ikachukuliwa, kila kitu kikaangaliwa. Wala sikuficha tena, ushahidi ulikuwa mwingi kuliko ushahidi wa kesi ya Escobar. Nilikaa kimya kama mjinga.

Hakukuwa na njia nyingine. Niliweka chini ego, nikasema ukweli – ni kweli nilikuwa natembea na huyo demu kwa muda. Nikamuomba sana msamaha. Ilibidi niache kila mawasiliano, na nilifuta line kabisa. Ilikuwa ngumu sana, lakini ndo dawa pekee.
 
Usinikumbushe kaka,hilo tukio limenikuta hata wiki haijapita, nilipiga ugimbi nikapitiwa na usingizi na simu sikuweka paswod, basi kapekuwa na simu kampigia wameongea, wamenisema me nimelala, hivi navyoandika hapa niko single.. Mke kanikimbia na mchepuko hanitaki.. Tena wamekuwa marafiki..
Ila pombe mnaiharibia jina sana aiseeee..😑
Dear gambe...😋
 
Back
Top Bottom