Umeshawahi kufumaniwa Kwa sms,calls za mchepuko wako, na mwennza wako? Je ulimaliza vipi huo msala?

Umeshawahi kufumaniwa Kwa sms,calls za mchepuko wako, na mwennza wako? Je ulimaliza vipi huo msala?

Nikimchana kuwa hayuko peke yake so atulize wenge, wikiend nikampeleka dubai nikamtia mimba huko huko
Hii mbinu ya kumpa zawadi au kumtoa out huwa inamaliza sana mambo na inatumika sana, kumaliza visa vya aina hii?
 
Usinikumbushe kaka,hilo tukio limenikuta hata wiki haijapita, nilipiga ugimbi nikapitiwa na usingizi na simu sikuweka paswod, basi kapekuwa na simu kawapigia wameongea, wamenisema me nimelala, hivi navyoandika hapa niko single.. Mke kanikimbia na mchepuko hanitaki.. Tena wamekuwa marafiki..
Siku hizi wanawake wamegoma kugombana kisa mwanaume wao ni mwendo wa kuwa marafiki 😂😂😂😂😂
 
Mkuu mi naamini asipogombana na wewe na yeye atakuwa anafanya yake!
Inawezekana ikawa kweli kwa asilimia kubwa maana siku hizi wake za watu ndio wanaongoza kusaliti. Lakini pia mwingine anaweza akwa hafanyi yake ila amekaa kimya sababu amechoka na matendo yanayojirudia ( kama sio mara ya kwanza).
Ukiona mkeo kakufumania hajagombana na hajaondoka nyumbani hapo lazima nae ana yake
 
Kwa Mimi mkuu, ilishanitokea ila yaliisha niliwahi kuacha simu ikiwa on maana simu yangu huwa natumia face lock na kulikuwa na sms zenye ukakasi zaidi ya nne ss wakati najiandaa kwenda kuoga,niliacha simu ikiwa haijajilock na yeye alivyoona hivyo akaiwahi bila Mimi kujua na kuanza kuingia upande wa sms, saiyo Mimi nimeshaenda kuoga, narudi kutoka kuoga naona mtu kavimba Kwa hasira na akaanza kuniuliza kuhusu hizo sms, kilichoniokoa nilimbadilikia na kumwambia ni lini umeanza kupekua simu yangu, nikawa mkali na nikamuuliza Mimi nimewahi kupokea simu Yako?
Nikawa mkali huku nikijiandaa kwenda kazini, na baada ya hapo alinywea na nikaondoka kwenda kazini, kurudi baadae nikawa Mwenye hasira sitaki kuongea nae hadi, aliniambia yaishe, ni kisa Cha nyuma kidogo !
Ok hapo sawa.

Watu tuna visa vya kutisha, kinachotusaidia ni kuwa na kura ya veto!

Mi cha kwangu ni kichafu zaidi kwa sababu kina sura ya kula kuku na mayai yake, kisha sms za shukrani na kusifiwa 'perfomance' zikafumwa, yaani ni ugoni kabisa wa kitecnolojia.

Enzi zile za usajili holela bila finger print, nilikuwa sijasevu jina lakini namba ikafuatiliwa ikajulikana.

Kwa speed ya upepo nikawasiliana na mhusika achomoe line avunje haraka na asajili line nyingine upesi.

Kesi niliimaliza kikatili sana ile na tangia siku hiyo simu nikaisiliba password na ndani apllications za maana zote zikalamba pettern kulaleki.

Maana nikaona bora lawama kuliko kupoteza mke kwa uzembe wa kipumbaf.

Simu ya kiume si ya kuacha uchi hata kama unajifanya mwaminifu na mnaaminiana na mkeo.

Simu ikiwa uchi ukaiacha kitandani, safari ya kwenda chooni mpaka ukamalize haja na kurudi ni ndefu sana, ni sawa na kutoka Dar hadi Kigoma kwa train, utakuta mhusika ashamaliza kila kitu, na wingu jeusi lilishatanda na amani haipo tena imekwisha kutoweka.
 
Aise pole sana mkuu! Inamaana hayazungumziki? Shemeji kakaza?

Naona kama nimepewa funzo la muda na nachunguzwa, huwenda nikasamehewa ila mwanamke yeye kaenda kwao mbali na ninapoishi, cha kushangaza mchepuko ndo kapewa kazi ya kunimonitor kila nachofanya taarifa zinamfikia wife huko, yan nimeamua kuish maisha matakatifu yawezekana yakaisha
 
Kwa Mimi mkuu, ilishanitokea ila yaliisha niliwahi kuacha simu ikiwa on maana simu yangu huwa natumia face lock na kulikuwa na sms zenye ukakasi zaidi ya nne ss wakati najiandaa kwenda kuoga,niliacha simu ikiwa haijajilock na yeye alivyoona hivyo akaiwahi bila Mimi kujua na kuanza kuingia upande wa sms, saiyo Mimi nimeshaenda kuoga, narudi kutoka kuoga naona mtu kavimba Kwa hasira na akaanza kuniuliza kuhusu hizo sms, kilichoniokoa nilimbadilikia na kumwambia ni lini umeanza kupekua simu yangu, nikawa mkali na nikamuuliza Mimi nimewahi kupokea simu Yako?
Nikawa mkali huku nikijiandaa kwenda kazini, na baada ya hapo alinywea na nikaondoka kwenda kazini, kurudi baadae nikawa Mwenye hasira sitaki kuongea nae hadi, aliniambia yaishe, ni kisa Cha nyuma kidogo !
Huyo anacho cha kupoteza kwako. Mwanamke ambaye hana cha kupoteza kwako huwezi mfanyia hivyo. Patachimbika.
 
Ok hapo sawa.

Watu tuna visa vya kutisha, kinachotusaidia ni kuwa na kura ya veto!

Mi cha kwangu ni kichafu zaidi kwa sababu kina sura ya kula kuku na mayai kisha sms za shukrani na kusifiwa 'perfomance' zikafumwa, yaani ni ugoni kabisa wa kitecnolojia.

Enzi zile za usajili holela bila finger print, nilikuwa sijasevu jina lakini namba ikafuatiliwa ikajulikana.

Kwa speed ya upepo nikawasiliana na mhusika achomoe line avunje haraka na asajili line nyingine upesi.

Kesi niliimaliza kikatili sana ile na tangia siku hiyo simu nikaisiliba password na ndani apllications za maana zote zikalamba pettern kulaleki.

Maana nikaona bora lawama kuliko kupoteza mke kwa uzembe wa kipumbaf.

Simu ya kiume si ya kuacha uchi hata kama unajifanya mwaminifu na mnaaminiana na mkeo.

Simu ikiwa uchi ukaiacha kitandani, safari ya kwenda chooni mpaka ukamalize haja na kurudi ni ndefu sana, ni sawa na kutoka Dar hadi Kigoma kwa train, utakuta mhusika ashamaliza kila kitu, na wingu jeusi lilishatanda na amani haipo imetoweka.
😂😂😂🙌🙌 Eti kutoka dar hadi kigoma!
 
Usinikumbushe kaka,hilo tukio limenikuta hata wiki haijapita, nilipiga ugimbi nikapitiwa na usingizi na simu sikuweka paswod, basi kapekuwa na simu kawapigia wameongea, wamenisema me nimelala, hivi navyoandika hapa niko single.. Mke kanikimbia na mchepuko hanitaki.. Tena wamekuwa marafiki..
Shukuru mzeya, umeepushwa na wanawake wajinga hao.
Eti ukaache mwanaume kisa ana mchepuko 🤣🤣🤣🤣 and then wat go date another man? 🤣🤣🤣 Hizi kenge zina akili ndogo sana
 
Nilichosema ni "huyu ni classmate, tulivyokuwa shule tulikuwa washkaji sana so huu uliosoma ni utani tu wala hakuna lolote" nikasimamia hapo hadi leo....

Ilinisaidia kupunguza zile flirts maana hali ilikuwa mbaya😅
 
Usinikumbushe kaka,hilo tukio limenikuta hata wiki haijapita, nilipiga ugimbi nikapitiwa na usingizi na simu sikuweka paswod, basi kapekuwa na simu kawapigia wameongea, wamenisema me nimelala, hivi navyoandika hapa niko single.. Mke kanikimbia na mchepuko hanitaki.. Tena wamekuwa marafiki..
Hapo dili na mke, akikubali bas mchepuko nae atarudi kwenye mfumo
 
Habari za majukumu wakuu?

Husika na kichwa Cha habari hapo juu, umeshawahi kukutwa na sms, au calls za mchepuko wako uwe unachati au alichat, uwe uliongea nae au umekutwa live ukiongea nae kwenye simu na mwenza wako? Iwe wa ndoa au unaeishi nae?
Je ilikuwaje?
Je ulisolve vipi?
1.)ulikiri na Kuomba msamaha yaishe?
2.)uligoma mwanzo mwisho? Japo ushaidi upo?
3.)au alikuwa mkali ghafla na kupotezea mada?
Karibuni wakuu tushee mauzoefu,,,,,,,,,,
Mimi yalikwisha kwa yeye kununa ila sikukubali na sitokubali ila kila nikiondoka naambiwa nimsalimie mchepuko.
 
Back
Top Bottom