Aisee, sms iliyotoka kwa mchepuko ilinaswa, tena mimi nikiwa nimeishaijibu kuwa nakupigia. Nilijinasua kwa kumwambia kuwa huyo mwenye simu amekuwa hacked huyo aliyetuma ujumbe ni tapeli, na ndio maana nilimwambia nitakupigia, maana matapeli huwa hawapokei simu, wanapenda kuchat tu kuepuka kujulikana kuwa sio wahusika.Habari za majukumu wakuu?
Husika na kichwa Cha habari hapo juu, umeshawahi kukutwa na sms, au calls za mchepuko wako uwe unachati au alichat, uwe uliongea nae au umekutwa live ukiongea nae kwenye simu na mwenza wako? Iwe wa ndoa au unaeishi nae?
Je ilikuwaje?
Je ulisolve vipi?
1.)ulikiri na Kuomba msamaha yaishe?
2.)uligoma mwanzo mwisho? Japo ushaidi upo?
3.)au alikuwa mkali ghafla na kupotezea mada?
Karibuni wakuu tushee mauzoefu,,,,,,,,,,
Kumekucha!Wife kauona huu uzi akanitumia link, hapa nasoma comments tu..🤣 maana haijawai nitokea....🙈
Ila pombe mnaiharibia jina sana aiseeee..
Safi hakuna kukubali2023 nimechat wee tumepeana location nikaenda oga, kumbe sikufuta chat. Natoka bafuni nakuta mtu yuko na simu anaondoka zake na mtoto, pamoja na hayo nilikataa maana kesho yake nili renew line zangu maisha yakaendea na simu nikamwachia. Kwenye kesi nikasema sijui ni nini aliona kwenye simu
HakikaKwanza usikubali kosa
Hata unikute uchi nasema alikuwa anataka anichome sindano huyu ni nurse
Huu Uzi wanawake siwaoni au wanawake wa jf ni waaminifu, na hawajawahi kukutwa na bwana Pepsi?😂😂Hakika
😂😂🙌🙌Wife kauona huu uzi akanitumia link, hapa nasoma comments tu..🤣 maana haijawai nitokea....🙈
Nurse naye anakuwa uchi?Kwanza usikubali kosa
Hata unikute uchi nasema alikuwa anataka anichome sindano huyu ni nurse
Used starter seller nawe ukawa key starter buyer😂😂Kuna namba nilisave "Used Starter Seller" 🤣
Alituma text "Mpenzi nililala kwa shida nakumiss jamani" ilibambwa hiyo text nilikomaa huyu muuza spare used itakuwa kakosea tu maana nina majina ya mafundii na wauza spare kibao ndo pona🤣🤣
Watu tunasave mpaka "Fundi Pancha Master" ili kukwepa umande tu😂😂
Mimi issue ilikuwa Moto, ila kwa sababu Mimi lejendari najua udhaifu wake kwama nikifanikiwa kutia chuchu ya titi la kushoto mdomoni anaishia hapohapo. Huwa hawezi kufanya chochote zaidi ya kulegea na kusubiri akunwe tuu. Nikimtaimu yakaisha. Zamaaaani Sana lakini nikiwa kijana.Habari za majukumu wakuu?
Husika na kichwa Cha habari hapo juu, umeshawahi kukutwa na sms, au calls za mchepuko wako uwe unachati au alichat, uwe uliongea nae au umekutwa live ukiongea nae kwenye simu na mwenza wako? Iwe wa ndoa au unaeishi nae?
Je ilikuwaje?
Je ulisolve vipi?
1.)ulikiri na Kuomba msamaha yaishe?
2.)uligoma mwanzo mwisho? Japo ushaidi upo?
3.)au alikuwa mkali ghafla na kupotezea mada?
Karibuni wakuu tushee mauzoefu,,,,,,,,,,
Mechanism ya kujihami siyo? Kosa unafanya wewe na ukali pia unakalipa wewe.Safi mwanawane lazima uwe mbogo
Fundi pancha master😂😂Kuna namba nilisave "Used Starter Seller" 🤣
Alituma text "Mpenzi nililala kwa shida nakumiss jamani" ilibambwa hiyo text nilikomaa huyu muuza spare used itakuwa kakosea tu maana nina majina ya mafundii na wauza spare kibao ndo pona🤣🤣
Watu tunasave mpaka "Fundi Pancha Master" ili kukwepa umande tu😂😂
Kosa gani wewe hapo...mwanaume mwenye kosa ni yelu mwenye mwanamme mmoja.Mechanism ya kujihami siyo? Kosa unafanya wewe na ukali pia unakalipa wewe.