Umeshawahi kufumaniwa Kwa sms,calls za mchepuko wako, na mwennza wako? Je ulimaliza vipi huo msala?

Nikimchana kuwa hayuko peke yake so atulize wenge, wikiend nikampeleka dubai nikamtia mimba huko huko
Hii mbinu ya kumpa zawadi au kumtoa out huwa inamaliza sana mambo na inatumika sana, kumaliza visa vya aina hii?
 
Siku hizi wanawake wamegoma kugombana kisa mwanaume wao ni mwendo wa kuwa marafiki 😂😂😂😂😂
 
Mkuu mi naamini asipogombana na wewe na yeye atakuwa anafanya yake!
Inawezekana ikawa kweli kwa asilimia kubwa maana siku hizi wake za watu ndio wanaongoza kusaliti. Lakini pia mwingine anaweza akwa hafanyi yake ila amekaa kimya sababu amechoka na matendo yanayojirudia ( kama sio mara ya kwanza).
Ukiona mkeo kakufumania hajagombana na hajaondoka nyumbani hapo lazima nae ana yake
 
Ok hapo sawa.

Watu tuna visa vya kutisha, kinachotusaidia ni kuwa na kura ya veto!

Mi cha kwangu ni kichafu zaidi kwa sababu kina sura ya kula kuku na mayai yake, kisha sms za shukrani na kusifiwa 'perfomance' zikafumwa, yaani ni ugoni kabisa wa kitecnolojia.

Enzi zile za usajili holela bila finger print, nilikuwa sijasevu jina lakini namba ikafuatiliwa ikajulikana.

Kwa speed ya upepo nikawasiliana na mhusika achomoe line avunje haraka na asajili line nyingine upesi.

Kesi niliimaliza kikatili sana ile na tangia siku hiyo simu nikaisiliba password na ndani apllications za maana zote zikalamba pettern kulaleki.

Maana nikaona bora lawama kuliko kupoteza mke kwa uzembe wa kipumbaf.

Simu ya kiume si ya kuacha uchi hata kama unajifanya mwaminifu na mnaaminiana na mkeo.

Simu ikiwa uchi ukaiacha kitandani, safari ya kwenda chooni mpaka ukamalize haja na kurudi ni ndefu sana, ni sawa na kutoka Dar hadi Kigoma kwa train, utakuta mhusika ashamaliza kila kitu, na wingu jeusi lilishatanda na amani haipo tena imekwisha kutoweka.
 
Aise pole sana mkuu! Inamaana hayazungumziki? Shemeji kakaza?

Naona kama nimepewa funzo la muda na nachunguzwa, huwenda nikasamehewa ila mwanamke yeye kaenda kwao mbali na ninapoishi, cha kushangaza mchepuko ndo kapewa kazi ya kunimonitor kila nachofanya taarifa zinamfikia wife huko, yan nimeamua kuish maisha matakatifu yawezekana yakaisha
 
Huyo anacho cha kupoteza kwako. Mwanamke ambaye hana cha kupoteza kwako huwezi mfanyia hivyo. Patachimbika.
 
😂😂😂🙌🙌 Eti kutoka dar hadi kigoma!
 
Shukuru mzeya, umeepushwa na wanawake wajinga hao.
Eti ukaache mwanaume kisa ana mchepuko 🤣🤣🤣🤣 and then wat go date another man? 🤣🤣🤣 Hizi kenge zina akili ndogo sana
 
Shukuru mzeya, umeepushwa na wanawake wajinga hao.
Eti ukaache mwanaume kisa ana mchepuko 🤣🤣🤣🤣 and then wat go date another man? 🤣🤣🤣 Hizi kenge zina akili ndogo sana
Eti nae analipiza, anafanya ile kitu inaitwa UBAYA UBWELA!😂😂
 
Nilichosema ni "huyu ni classmate, tulivyokuwa shule tulikuwa washkaji sana so huu uliosoma ni utani tu wala hakuna lolote" nikasimamia hapo hadi leo....

Ilinisaidia kupunguza zile flirts maana hali ilikuwa mbaya😅
 
Hapo dili na mke, akikubali bas mchepuko nae atarudi kwenye mfumo
 
Mimi yalikwisha kwa yeye kununa ila sikukubali na sitokubali ila kila nikiondoka naambiwa nimsalimie mchepuko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…