Umeshawahi kufumaniwa Kwa sms,calls za mchepuko wako, na mwennza wako? Je ulimaliza vipi huo msala?

Wife kauona huu uzi akanitumia link, hapa nasoma comments tu..🤣 maana haijawai nitokea....🙈
 
Aisee, sms iliyotoka kwa mchepuko ilinaswa, tena mimi nikiwa nimeishaijibu kuwa nakupigia. Nilijinasua kwa kumwambia kuwa huyo mwenye simu amekuwa hacked huyo aliyetuma ujumbe ni tapeli, na ndio maana nilimwambia nitakupigia, maana matapeli huwa hawapokei simu, wanapenda kuchat tu kuepuka kujulikana kuwa sio wahusika.

Bahati nzuri kipindi hicho kulikuwa na wimbi kubwa la hacking kupitia ile link ya whatsapp ya hela za UNICEF, so nikajinasua kimasihara
 
Alinifuma nachat na ex wangu, akaanza kunitukana me muda wote niko kimya, akataka anipige kibao nikamdaka mkono..... Tuliishia kunyonyana mate👿
 
Safi hakuna kukubali
 
Kuna namba nilisave "Used Starter Seller" 🤣
Alituma text "Mpenzi nililala kwa shida nakumiss jamani" ilibambwa hiyo text nilikomaa huyu muuza spare used itakuwa kakosea tu maana nina majina ya mafundii na wauza spare kibao ndo pona🤣🤣

Watu tunasave mpaka "Fundi Pancha Master" ili kukwepa umande tu😂😂
 
mimi nishafumwa sio mara moja wala mbili ila kesi huwa inapinduliwa kwamba nani alimtuma kupekua simu yangu.kabla sijamuoa nilimpa darasa juu ya simu kuvunja ndoa
 
Used starter seller nawe ukawa key starter buyer😂😂
 
Mimi issue ilikuwa Moto, ila kwa sababu Mimi lejendari najua udhaifu wake kwama nikifanikiwa kutia chuchu ya titi la kushoto mdomoni anaishia hapohapo. Huwa hawezi kufanya chochote zaidi ya kulegea na kusubiri akunwe tuu. Nikimtaimu yakaisha. Zamaaaani Sana lakini nikiwa kijana.
 
Fundi pancha master😂😂
 
Mechanism ya kujihami siyo? Kosa unafanya wewe na ukali pia unakalipa wewe.
Kosa gani wewe hapo...mwanaume mwenye kosa ni yelu mwenye mwanamme mmoja.
Mwanamke ndio mwwnye kosa akakuhoji vipi eti huyu nani...ebo! Yaani nakulisha nakuvalisha unapata wapi uthubutu wakunihoji
 
Nasaizi lazima tublock namba maana hawa mitandao hawakawii kutuma text mara mbili, unaweza ukawa umelala inaingia text yake ya mchana mishale ya usiku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…