Umeshawahi kufumaniwa Kwa sms,calls za mchepuko wako, na mwennza wako? Je ulimaliza vipi huo msala?

Naona milayaz mnashauriana jinsi ya kuwa toxic baada ya kufumaniwa.
 
Unakosea wapi mpaka ufumaniwe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…