Umeshawahi kujiuliza wewe ni nani?

Kumbe tupo wengi niliona comment ya Nifah nikashangaa sana

Ipo siku tujaribu na tunaweza kurudi kule

nilikua najisemea kwa utulivu mimi mimi mimi mimi napaa napotea hali ile haielezeki
swali hili nilikuwa najiuliza zaman. na nilkuwa nabaki kujishangaa. lkn kwa sasa hata nikitafakar haitokei tena hali ile.

Mambo yamekuwa mengi! but you can go back to your childhood status only if u choose for a few minutes to throw away everything for a while

 
Hili swali nilikua najiuliza sana kipindi nikiwa mdogo.Hasa nikikaa sehemu tulivu isiyo na kelele yoyote.Hadi nikawa najikuta najishangaa mwenyewe!
Lakini siku hizi kila nikijaribu nashindwa sijui kwanini!
kaa sehemu iliyotulia sikiliza pumzi yako be an occupied
 
Sasa hivi kichwa kina mambo mengi,stress kibao...
Maisha magumu.
Ukijaribu kujiuliza hilo yanakuja mambo kibaooooo!
Ukubwa jaha.. [emoji25]
Kweli nimeshangaa sana mwanzoni
sijui kwa nini sikuuona uzi huu mapema...

kweli mambo ni mengi
zamani raha sana acha watoto wafurahi
 
what a lot of rubbish!
 
Mkuu umetisha, nakubaliana nawe sana.
Ngoja niendelee kusoma comments za wadau, nitarudi kuchangia inputs zangu, maana nami ni muumini wa haya makitu uliyouliza
 
Asante sana. Finally umeweza kuchambua kimoja kimoja na kutoa taka zote na kubakia na ambacho ni wewe. Ubarikiwe nawe pia. Asante sana.
Ni kweli mkuu huyu jamaa kaongea kile nilichokuwa nasema nitakuja kukiongea.
I think, this is an introduction regarding your question..
Nasema introduction maana kuanzia hapa tunatakiwa tuchambue kila kimoja na kazi yake pamoja na limitations zake, nevertheless tujue which one will bring us to the conclusion..
 

Exactly & Excellent
 
Mi hadi nimeamua kuishia njiani maana ananifundisha jinsi ya kujisali mimi mwenyewe alaaaaaaa
 
Mkuu apolo kuna kipindi nakua nimelala na nahitaj kuinuka labda niende kukojoa huwa napata shida sana some times najaribu kufumbua macho najiona kama nimeamka alaf nikithibitsha najikuta bado sijaamka huwa najitahid kujigeuza nipate kuushtua mwili njiona kabisa nikiwa najizungusha ila mwili unagoma kuzumguka najitahd mpaka nafanikiwa kama nntatumia nguvu nyingi sana nkiamka BA's mapigo ya moyo humienda mbio sana na kama sijatumia nguvu nying huamka kawaida mm nahs hata watu walio ndani ya koma wanhitaji kuinuka na wanahis kufanya mambo Yao kama wao ila mwili unakataaa nahis nguvu ya ndani yetu imeunganishwa na kitu kutuunganisha na mwili huu wa nyama bila ya hiyo konektion mwili utaendelea kubaki wenyewe na hakuna kinachotokea mkuu apolo haya no mawazo yangu kupitia mawaz yangu najua unajua zaid naonmba uyaelezee haya mambo kW kina kidogo
 
Yupo sawa huyo mkuu sababu ss wote hapa ulimwenguni asilimia nyingi hatujitambui wapo wengi bado wanajiuliza wao ni akina nani na wanaumuhimu gani kuwepo kwao hapa duniani . Lkn nimemfikilia sana huyo mkuu nimeona hiyo hoja ni hoja ya kiroho . Wapo wanaojitambua kiroho pia lkn vigumu sana kuaminika pindi wanapojiielezea na wengine wanajitambua lkn wanauchuna . Wapo pia wanaojitambua kikawaida mfano labda mi naitwa Juma n.k.

Kaongelea kiroho huyo ! Tuambie mkuu w nani mwenzetu !
 
Hii hali hata mimi huwa inanitokeaga japo si mara kwa mara...unaweza kuhisi kama umekabwa au umezibwa usoni

Lkn niliwahi kuambiwa kuwa ni majinamizi ndiyo yanakuwa yamekuingilia hvyo yale yote unayoyafanya yanakuwa katika mfumo wa ndoto ila mwenyewe unaona kama ni uhalisia
 
Mimi ni mimi, wala sifanani na yoyote, wala hatazaliwa kama mimi. Mimi ni roho (uhai) niliojificha ndani ya mwili. Ndani ya mwili kuna vitu vitatu visivyo onekana, roho, nafsi na akili. Roho ndio uhai wenyewe. Nafsi inahusika na matamanio na Akili inahusika na mamuzi. Mwili hupelekeshwa tu.
 
natamani nikuelewe bt nashndwa kabsa. unamaanisha nin apollo.....?

Ni mada ambayo tunajaribu kujitafakari sisi ni nani. Wewe ni nani? Wanadamu hatuwezi kufikiriana (kutumia akili yako na ufahamu wako kukutafakari). Hivyo inahitaji utambuzi wa hali ya juu.
 
Hebu weka picha tuone

Picha haiwezi kusaidia ndugu. Utajikuta unachukua Physical parts ambazo zinapita na wakati. Hata picha yako ulipokuwa mdogo na sasa hazipo sawa. Yule sio wewe tena. Mwili wa picha za utotoni sio sawa na mwili wa sasa, cells zimeshabadilika, na biologically kuna changes zimeshafanyika na hauna chembechembe zile kikamilifu kama ilivyokuwa. Kuna some parts zimechange. Pia uzee na kifo vinamaliza hiyo part ya physical uliyonayo kwenye picha.

Maisha ni kama mto. Maji yaliyopo hivi sasa hayapo kesho. Kila sekunde maji yanaingia na mengine yanatoka.

Nothing is permanent in this world. Especially physical properties
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…