Benny
JF-Expert Member
- Jun 6, 2014
- 3,275
- 5,404
Kumbe tupo wengi niliona comment ya Nifah nikashangaa sanaWow, asante sana. Hata mimi nilianza kujiuliza hili swali. Nilipokuwa naona watu wanazikwa najiuliza kuwa na mimi ipo siku nitazikwa, je mimi ni nani? Kwanini nauacha mwili wangu? Kuna muda unaamua kutafuta sehemu tulivu na kuanza kuvuta taswira ya maisha na kujikuta unaona kuwa kuna mengi ya kufahamu zaidi.
Ipo siku tujaribu na tunaweza kurudi kule
nilikua najisemea kwa utulivu mimi mimi mimi mimi napaa napotea hali ile haielezeki
swali hili nilikuwa najiuliza zaman. na nilkuwa nabaki kujishangaa. lkn kwa sasa hata nikitafakar haitokei tena hali ile.
Mambo yamekuwa mengi! but you can go back to your childhood status only if u choose for a few minutes to throw away everything for a while
mi tangu utotoni nilishajiulizaga sana hili swali nikawa sipati jibu kamili,nikawa siamini kama mimi ni mimi,maana najua watu wanakufaga na kuzikwa,same to me nitakufa,lakini kwanini mimi ni mimi hivyi nilivyo na sio vile walivyo,je nafanyaje hapa duniani?niishi tu halafu nife itasaidia nini basi huo uwepo wangu ulivyokuwa humu duniani?je wavumbuzi wa vitu mbalimbali wamemaliza kazi yao ya kuwepo hapa?najiulizaga hata sasa sema kuna kitu kinanitokea labda cha kutia uvivu nasema ipo siku nitaenda mahali fulani tulivu labda nitajua ila majukumu ndo cku haifikagi tu,ah haya bana ila naaminigi kama natakiwa nifahamu nitafahamu tu hata kwa bahati mbaya,coz ctaki kujua baada ya kufa maana cjui nitamlaumu nani.