Umeshawahi kujiuliza wewe ni nani?

 
teh teeh teeeh... .. . eeerh.
Umenikumbusha mbali sana mkuu na hii hoja.
siku moja kuna jamaa alinipa njia ya kujua mi ni nani, aliniambia hivi nenda kwenye kioo kikubwa ujitazame..... concetrate sana kwenye uso wako kwa mda mrefu.
basi kuna mawazo kama million yalizunguka katika ubongo kwa kwa sekunde tuuu... kichwa kikaanza kuuma vibaya, na hata baada ya hapo nilikuwa naona kama nimedata hivi.
tokea hapo sitarudia tena kutazama kioo na kujiuliza mi ni nani?
Cc: aretasludovick
Jimena
 
Last edited by a moderator:

Asante kwa kuniita mkuu, ntarudi baadae kidogo
 
Last edited by a moderator:

Mkuu nipo hapa nafatilia comments za watu taratibu.
Ila nikwambie tu kuwa hata wazazi wako hawakujui ndio maana ulipozaliwa tu walikupa jina la kutumia ambalo ni kiwakilishi tu.
Hakuna akujuae isipokuwa wewe mwenyewe.

Jina ni mojawapo ya vitu vyako ulivyo navyo. Wewe halisi hatukujui.
 
Last edited by a moderator:
Binadamu unazaliwa ukiwa empty unaundwa na kujiunda na kuwa jinsi ulivyotaka uwe au walivyotaka uwe (wazazi) baada ya hapo unarudi kuwa empty (uzee) mwisho unakufa kweli wewe si wewe Mimi si Mimi
 
who am I?

i'm living body or breathing organism
I'm physical body,emotional and psychological being,those three together make me a person!
 

ila ni kweli mkuu.... ... . kwahyo hawa jamaa wanaosema wananielewa kumbe hakuna kitu
 

Mkuu Bennie 369 bado sijajijua mi ni nani, bado najitafakari, naendelea kuconcetrate nikishajua who iam labda ntakupm
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Bennie 369 bado sijajijua mi ni nani, bado najitafakari, naendelea kuconcetrate nikishajua who iam labda ntakupm

Angalia usije kusema wewe ni Jimena wakati sisi tunajua Jimena ni jina lako.
Wewe mwenye hili jina la Jimena ni nani sasa?
 
Last edited by a moderator:
Angalia usije kusema wewe ni Jimena wakati sisi tunajua Jimena ni jina lako.
Wewe mwenye hili jina la Jimena ni nani sasa?

Uko sawa kabisa mkuu, namiliki majina mengi tu ila mimi sio majina hayo.
Naendelea kujiuliza mi ni nani na siku nikishajijua tu we ni mmojawapo wa watakaoelewa kuwa nimejitambua.
One love
 
Uko sawa kabisa mkuu, namiliki majina mengi tu ila mimi sio majina hayo.
Naendelea kujiuliza mi ni nani na siku nikishajijua tu we ni mmojawapo wa watakaoelewa kuwa nimejitambua.
One love

:thumbup:
 
Ni vigumu watu wengi kuielewa hii post hasa Watz maana hatupendi vitabu kabisa. Ukishajua wewe ni nani basi umejikomboa katika hali nyingi sana za maisha.You have found Truth. Vitabu vitakatifu vinazungumzia truth ...Ukweli.... lakini bahati mbaya wengi wetu hatuelewi maana yake ni nini. Hata yesu alituambia
LUKA 17.21 wala hawatasema, Tazama, upo huku, au, kule, kwa maana, tazama, ufalme wa Mungu umo ndani yenu.
Wewe si wewe. Wewe ni spiritual power, the most powerful thing which is creative in nature. You are a spirit, and that spirit is the spirit of God. A spirit of a thing is the thing itself, the difference could only be the size and quantity but all qualities are the same. So if God is the whole spirit and we have a part of God spirit inside our bodis then that part of the whole has no difference with whole.

This is the TRUTH. if you can not undestand it now, do'nt worry. I can teach further. Ufalme wa Mungu uko ndani mwenu. Usikashifu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…