Umeshawahi kukata tamaa ya maisha? Ipi ilikuwa sababu

Huu ndo mwandiko wako sasa πŸ˜‚

Jamaniii πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ soon utanizoea na upya wangu. πŸ’ƒπŸ½πŸ’ƒπŸ½πŸ’ƒπŸ½ Nimesemwa sana humu, kilugha ninge andika kama kila mtu humu angeelewa.

Ila waje tu niwape mengi waboreshe, wajiongeze itumike kirahisi na wengi.. Tupendao kusevu muda kujiachia humu. πŸ˜€

Nimefiwa na wakaribu.. Kuwasahau siwezi naishi kama wapo nchi zingine haswa nikiwa fikiria kila ya leo na kuwakumbuka. Ni mengi dia, ngumu Ila Maisha yanasonga. Na ndugu kila mtu anapigwa kivyake, muhimu kutambua hili ili kutofikiriana vibaya. Tuzidi kuombeana 🀲🏽🀲🏽🀲🏽
 

Aloooh! Nimejitahidi kukuelewa ulichoandika hapa ilaaa πŸ˜‚πŸ˜‚
Ni kilugha gani hiko kinakutesa miaka yote hapa JF

Wewe na Pdidy the way mnaandika ni kujiamulia tu πŸ€¦β€β™€οΈ
 
Nimesoma hii nimeishia kuumia mno, ndiyo kipindi ninachopitia hivi sasa, nahisi moyo wangu unavuja damu, Mungu anisaidie tu nivuke salama huu msimu bila kuchukua maamuzi yoyote magumu..!

Ngoja kwanza nikalie tena..!πŸ™ŒπŸΎ
Jambo Moja tambua ya kuwa hata giza liwe totoro kiasi gani just uko Duniani tambua na uelewe kuwa Asubuhi itafika.

Na kwa taarifa yako jambo lako limefikia ukomo furaha inakuja soon.

Ukiri wa ndani unaombatana na kutambua kwa kina kuwa unapitia magumu ni dalili ya kwanza ya kuuona ushindi.

Nimewahi kata tamaa sanaa hadi nilijaribu kufanya kama yule boda aliejitupa kwenye gari na akafa..

Attemp kama ile niliwahi jaribu pale Ubungo kabla ya Lile daraja la juu 2016.

Nilijiona sina umuhimu uwao wowote ila Mungu sio athumani bado alinionesha tumaini bado 2017 nilipitia msoto wa ajabu ulioambatana na upweke usioelezeka hadi kuna siku nika black out CLub hii ilikuwa alert kubwa sana .

Hata sasa ni Bwana tu.
 
Mkuu Fafanua kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…