Umeshawahi kukosa au kukataa hela sababu ya mapenzi

Jamaa hakupaswa kumwambia ukweli huyo binti. Ye angemuelekeza huyo Mshangazi. Mbona washangazi ni waelewa.

Kabla ya mei mosi jamaa atarudi akiwa analia na kusaga meno.

Wahenga si wajinga kusema; ukipata kipya usitupe cha zamani.

Inavyooneka hicho kikundi chenu cha Mashangazi, mpo serious na maisha.
 
Kuna mtu nishawahi mpenda,afu akashindwa kuthamini upendo wangu kwake....aisee,mwamba.... nilikuwa real kwake...
Kwa upendo niliokuwa nao juu yake,I swear... nilikuwa tayari kuacha kilakitu...yaan kilakitu...

Wanaume, mwanamke akikupenda afu akawa na hasira sana juu ya matendo yako mabaya unayomfanyia....yaan hasira muda wote ila haondoki anavumilia...huyo mthamini,yupo tayari kukubeba kwa namna yoyote ile.

Kupenda kupo ila sema wanaume mnapoteza wake zenu wa maisha kwa sababu ya kauli mbiu yenu eti anaomba hela...ulitaka amwombe nani? Kakuomba Mara ngapi baada ya kumpa Mara ngapi?....

Hii dunia tutaendelea kuyaogopa mapenzi kwa sababu ya kujawa na ubinafsi....Kuna mabinti mnawachezea,wanalia machozi mnaona sifa na kujitutumua ....lakini nawaambieni ukweli....hawalii kuigiza,wanahisia nanyi...

Nimeandika mno,nilimaanisha upendo wa kweli upo,na mtu akishapenda haoni shida kupoteza kilakitu kwa sababu ya upendo.πŸ₯΄
 
Ulifanya maamuzi ya kiume haswa
 
Nimeisoma kwa hisia sana, Anyways staki kumbuka nlivopoteza mwanamke aliyenipenda kwa dhati🀐
 
Nimeisoma kwa hisia sana, Anyways staki kumbuka nlivopoteza mwanamke aliyenipenda kwa dhati🀐
Inaumiza sana,na haitokuja tokea ukapata akupendae kama yule, lazima kupunguka katika new family kuwepo...
 
YESU KAAMUA KUACHA KONDOO TISINI NA TISA ALIZO NAZO, AMEENDA KUTAFUTA YULE MMOJA ALIYEPOTEA, NA KAMPATA!
 
Hahah mwakavuta advance yangu hiyo, hata mm ushkaji ungekata hapo
 
Rafiki yetu bado anampenda na yuko tayari waendelee kama atakubali kuchepuka akishaoa.
Mkaka msimamo mkali lakini labda huko mbeleni binti akimpiga matukio atalegeza!
 
Lishangazi na limama tofauti yake ni nini?
Lishangazi / Mshangazi - 37 to 50 (yuko single hajawahi kuolewa au aliolewa akaachika au kafiwa etc. - mkubwa na amekupita kuanzia miaka 10 mpaka 20 ana T3).

Mmama / Jimama - 50 - 70 (huyu anaweza kuwa mama yako mpaka bibi yako, wengi washafiwa na waume au wameachika, haijalishi ana muonekano gani kikubwa ana hela na anakupenda).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…