Nishawahi kumbembeleza mtu asiniache hadi nikaona basi sasa acha aniache tu aargh[emoji848]
Ndiyo mkuuNa hakuwahi kurudi mpaka leo?
Ndiyo mkuu
Ahsante mkuu! Kwanza nimegundua kama mapenzi yameisha ni kukubali tu matokeo ila ukilazimisha mtu abaki kwako utaishi kwa stress .Maana hujui karudi kweli ama yupo tu kwa muda. 😒Pole sana mkuu ndio maisha ila ni kazi sana kumshawishi mtu aendelee kubaki maishani mwako.
Pole sana soulmate !!Nishawahi kumbembeleza mtu asiniache hadi nikaona basi sasa acha aniache tu aargh[emoji848]
ilikuaje bosi?Nishawahi kumbembeleza mtu asiniache hadi nikaona basi sasa acha aniache tu aargh[emoji848]
Ahsante mkuu! Kwanza nimegundua kama mapenzi yameisha ni kukubali tu matokeo ila ukilazimisha mtu abaki kwako utaishi kwa stress .Maana hujui karudi kweli ama yupo tu kwa muda. [emoji19]
[emoji38]Pole
Usisahau kunawa maji tirilika kwa sanitizer au sabuni . usisahau kuvaa barakoa na kufanya social distance jitahidi kuzingatia nakufuata ushauri wa wataalam
Kiukweli nimejifunza sahivi hamna kubembeleza mtu ukiniacha naachika kweli. Ila tatizo kamoyo nako kanakua kagumu kuelewa 😒Love hurts, ukiwa mwepesi ku let go and move on husaidia sana kwenye nyakati hizo. Unaweza kutumia kila mbinu kumshawishi lakini ukaishia kuumia tu na usiombe hayafanye hayo yote akiwa tayari kwenye penzi jipya.
Kiukweli nimejifunza sahivi hamna kubembeleza mtu ukiniacha naachika kweli. Ila tatizo kamoyo nako kanakua kagumu kuelewa [emoji19]
Ntajitahidi kuuelewesha moyo, na nna hako kaweakness napenda mazima tena nakua sioni sisikii sasa ikitokea breakup huwa inakula kwangu😒[emoji23][emoji23] kalainishe u deserve to be happy always usijekufa kisa stress za mapenzi. Inaonekana ukipenda unazama mzima mzima na kila kitu
pole [emoji3]Ndiyo mkuu