Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Ntajitahidi kuuelewesha moyo, na nna hako kaweakness napenda mazima tena nakua sioni sisikii sasa ikitokea breakup huwa inakula kwangu[emoji19]
Pole huku nikichekwa, poor me😀pole [emoji3]
Nklikuambia huyo babu hafai. Hukusikiliza ushauri wa mjukuu wako. Pole bibiPole huku nikichekwa, poor me[emoji3]
Ahsante
Ahsante mjukuuNklikuambia huyo babu hafai. Hukusikiliza ushauri wa mjukuu wako. Pole bibi
Hee 😀😀Unaniacha afu iweje? Hakuna kuniacha ni tutapendana tu
😂😂😂😂 sawa sawaMkiendekeza mapenzi, yanakuua huku unajiona.
Pole mkuu wanao walikufa wakiwa na umri gani na nini sababu ya kifo chao!?Nililitaka kujifanya lavalava, goodboy, zee la kupetipeti ila yamenishinda aisee.
Hivi mimi wa kupiga simu more than ten times na zisipokelewe.! Kameanza kujilizaliza ila nimeapa silegezi kamba whatever the fvck it is, mamaeee
Hata sielewi, utakuwa umeni'quote kimakosa labda.Pole mkuu wanao walikufa wakiwa na umri gani na nini sababu ya kifo chao!?
Nahisi kubadilishana uelewa na wewe!!
Nilishapigania penzi lianze for six years na halikufanikiwa.Nakumbuka miaka 6 nyuma kuna binti niliwahi kumpenda sana sasa katika mahusiano tulifikia kile kipindi kile mahusiano yapo too toxic kila nikijitahidi kuliokoa penzi kuliokoa tusiachane lakini wapi
Mwisho wa siku nilikubali matokeo niliumia sana lakini mwisho wa siku ilibidi nikubali kumwacha wakati yeye alishaniacha siku nyingi sana
Inatokea mara moja mojaHivi hua mnawezaje kumbembeleza mtu?
Life is very short kwanini ujitese?
Mtu akikuletea za kuleta unamuonyesha tu mlango wakutokea dakika hiyo hiyo tu.
No jokes mkuu. Huo ndio ukweli.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sawa sawa
Miaka 6!Nilishapigania penzi lianze for six years na halikufanikiwa.
Cha kushangaza yule mshenzi mpaka leo yuko single🥱
[emoji3][emoji3][emoji3]Miaka 6!
Nakupa phd ya Love bembelezaring and applied science