Umeshawahi kumla shemeji yako?

Umeshawahi kumla shemeji yako?

Inaweza kuwa chai au code ili bro wake asijue.....
Mmeelewa lakini story 2003, mwana alikua na laptop inayoweza kukaa na chaji toka saa nne mpaka saa 6, lakini pia alienda kulala chooni
 
Uongo ni nini..? Uongo nikua 2003 alikua n laptop anaangalia movie n laptop inakaa na charge mpaka shem ake anasinzia. Chaii hii...

Sent using Jamii Forums mobile app

Wala hajakudanganya, mimi nina laptop toshiba satellite A20 ya mwaka 2000 inakaa na charge 2 hours na ikiwa on standby mode inakaa na charge 6 days, kwanini yeye awe amedanganya?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama yako amejitoa kukusaidia..hayo ndo malipo yake. Hovyo kabisa..ndiyo maana wanasema wasaidie ndugu wakiwa nyumbani..kamwe usiwalete kwako
Acheni ujinga wakumlaumu jamaa Huyo mwanamke ni pumbavu kwani alilazimishwa si walikubaliana wote mavi yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna kitu naogopa kama shemeji yangu.Mke wa ndugu yangu like brotjer au mdogo angu.Aisee naogopa sana.Siwez kaa niwaze kumla.Nawaheshimu sana.
Hata demu wa mchiz tu siwez.

Mke wa brother angu mkubwa ananikera sana.Nataman hata namba yake niifute maana anaweka status za ajab kinoma.Mara kabimua kalio..mara katia vimin
Dah huwa nasikitika sanaaa.
Ahahahahahahahahahahahah
Msile mashemeji zenu
Hainaga ushemeji tunakulaga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hayo mambo yapo,lakini siyo ya kuyaendekeza kwa sababu mwisho wake ni mbaya
 
Mwaka 2003, tarehe 8 mwezi wa pili ndio siku niliyomla mke wa kaka yangu kabisa. Ilikuwa siku ya Jumamosi, sitakuja kuisahau.

Kaka yangu ni mtu wa safari sana, muda mwingi alikuwa hashindi nyumbani. Kipindi hicho nimemaliza chuo nipo natafuta kazi hivyo muda mwingi nilikuwa nashinda nyumbani mimi na shemeji tu. Kipindi hawana mtoto wala house girl

Shemeji alikuwa anapenda sana kuangalia movie, namimi ni mpenzi pia hivyo tulikuwa tunaangalia movie mpaka saa nane usiku.

Siku niliyomla, umeme ulikuwa umekatika mida ya saa nne usiku kwahyo nikawa naangalia zangu movie chumbani kwa Laptop yangu. Akasema kiutani shem acha uchoyo bana mbona unaangalia movie peke yako (mlango ulikuwa umerudishiwa tu, kwahyo sauti na mwanga), nikacheka nikamwambia karibu tuangalie.

Kweli shem akaja, movie naangalizia kitandani na muda chumbani hamna kiti wala meza. Tumeangalia weee, kufika saa sita tu hivi usingizi ukamchukua akalala hapo hapo. Namimi nikafunga laptop mana ilikuwa inaishia charge nikaenda toilet nikalala, japo shetani alikuwa ameshaanza kuniingia.

Usiku sikumbuki kilitokea nini tukajikuta tupo kwenye game mpaka asubuhi. Huo mchezo ulidumu kwa miezi mitatu ikabidi niombe kuondoka pale nirudi tu nyumbani, nilijua ipo siku nitafumwa na undugu utaisha.

Mpaka leo hatujawahi kurudia tena na tunaheshimiana sana, japo huwa najutia sana dhambi ile. Wewe ulishawahi kumla shemeji yako? Ilikuaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanamke yeyote katika mazingira rafiki kwake hutenda tendo la ndoa na mwanamme yeyote aliye karibu naye bila kujali uhusiano alio nao na huyo.
 
Back
Top Bottom