Umeshawahi kumla shemeji yako?

Umeshawahi kumla shemeji yako?

Hawa madada wa mjini hatari sana mkuu,,,unamuheshimu kama Mkwe,,,kumbe anakumezea mate,,,duu
Hongereni sana wee na mam mkwe, ina maan wee unachungulia alipotoka mkeo, na mam anachungua anachokula mwanae, Dunia simama nishuke.
 
Hongereni sana wee na mam mkwe, ina maan wee unachungulia alipotoka mkeo, na mam anachungua anachokula mwanae, Dunia simama nishuke.
Kwani kuna tatizo gani mkuu?kwani hujawahi ona baba Mkwe anamla mke wa mwanae? Shida ipo wapi?ondoa hofu mkuu,,,pengine mkweo anakumezea mate,,wewe unaogopa fursa,,,
 
Kwani kuna tatizo gani mkuu?kwani hujawahi ona baba Mkwe anamla mke wa mwanae? Shida ipo wapi?ondoa hofu mkuu,,,pengine mkweo anakumezea mate,,wewe unaogopa fursa,,,
Duuuuuuh acha tabia hiyo mwisho wake n fedheha na aibu. Wallah nakuambia
 
Duuuuuuh acha tabia hiyo mwisho wake n fedheha na aibu. Wallah nakuambia
Fedheha kula kuku na mayai yake? fedheha atapata Mkwe sio Mimi...
Sumu haionjwi mkuu,,,
yeye ndiyo alianza kunitega,,,
nimesha nasa na mtego wenyewe nimeondoka nao..
sasa kazi kwake Mkwe..
 
Fedheha kula kuku na mayai yake? fedheha atapata Mkwe sio Mimi... Sumu haionjwi mkuu,,,yeye ndiyo alianza kunitega,,,nimesha nasa na mtego wenyewe nimeondoka nao..sasa kazi kwake Mkwe..
Unadhan hayo yakitokea jamii itaangalia mam mkwe ndo mtegaji? Wataamin wee ndio uliemshawishi mkwe uwe nae, na hat huyo mkeo ataamin hivyo ina maan umeshindwa hat kutumia busara na hekima ktk hili? Au fanya hivi imagine mkeo anatembea na baba yako, hyo hali utakayohisi ndvyo itakavyokuwa kwa mkeo akijua hili. Hebu mkatae shetani aaaaah.
 
Mwaka 2013, tarehe 8 mwezi wa pili ndio siku niliyomla mke wa kaka yangu kabisa. Sitakuja kuisahau.

Kaka yangu ni mtu wa safari sana, muda mwingi alikuwa hashindi nyumbani. Kipindi hicho nimemaliza chuo nipo natafuta kazi hivyo muda mwingi nilikuwa nashinda nyumbani mimi na shemeji tu. Kipindi hawana mtoto wala house girl

Shemeji alikuwa anapenda sana kuangalia movie, namimi ni mpenzi pia hivyo tulikuwa tunaangalia movie mpaka saa nane usiku.

Siku niliyomla, umeme ulikuwa umekatika mida ya saa nne usiku kwahyo nikawa naangalia zangu movie chumbani kwa Laptop yangu. Akasema kiutani shem acha uchoyo bana mbona unaangalia movie peke yako (mlango ulikuwa umerudishiwa tu, kwahyo sauti na mwanga), nikacheka nikamwambia karibu tuangalie.

Kweli shem akaja, movie naangalizia kitandani na muda chumbani hamna kiti wala meza. Tumeangalia weee, kufika saa sita tu hivi usingizi ukamchukua akalala hapo hapo. Namimi nikafunga laptop mana ilikuwa inaishia charge nikaenda toilet nikalala, japo shetani alikuwa ameshaanza kuniingia.

Usiku sikumbuki kilitokea nini tukajikuta tupo kwenye game mpaka asubuhi. Huo mchezo ulidumu kwa miezi mitatu ikabidi niombe kuondoka pale nirudi tu nyumbani, nilijua ipo siku nitafumwa na undugu utaisha.

Mpaka leo hatujawahi kurudia tena na tunaheshimiana sana, japo huwa najutia sana dhambi ile. Wewe ulishawahi kumla shemeji yako? Ilikuaje?
Mimi nilishatubu, naamini nimesamehewa.

Ila wadogo zake wife ni watamu balaa.

Ndo maana wote wameshaolewa ... sishangai
 
Unadhan hayo yakitokea jamii itaangalia mam mkwe ndo mtegaji? Wataamin wee ndio uliemshawishi mkwe uwe nae, na hat huyo mkeo ataamin hivyo ina maan umeshindwa hat kutumia busara na hekima ktk hili? Au fanya hivi imagine mkeo anatembea na baba yako, hyo hali utakayohisi ndvyo itakavyokuwa kwa mkeo akijua hili. Hebu mkatae shetani aaaaah.
Sawa mkuu,,,nimekusikia,,,tatizo yeye ndy msumbufu,,,
 
Mie shetani huyu ananivutia kasi, kuna mahali uzalendo unaenda nishinda vere suni.
Mkuu,,sometimes kuna wakwe wanatamani waone raha za binti zao zilipo,,,kama kakukalia sawa wewe mdonyoe mkuu,,ila kwa techniques za hali ya juu..muanzie mbali mno..
 
Kweli SANITIZER na kunawa mikono inaleta majibu ya hatari
Tuendelee kunawa sana mengi yanakuja
 
Sawa mkuu,,,nimekusikia,,,tatizo yeye ndy msumbufu,,,
Kwanini usimkatalie? Na iweje mkwe awe na mazoea ya kiasi hicho lazima kuna ishara ulikua unamuonesha pasipo kujua kuwa n kivutio kwake, kabisaaa kweli unadate na mkwe? Hat sielew n ujasiri wa kiwango kipi duuuuuuh.
 
Mkuu huyo Mkwe umebahatika kumuona? mkuu labda kipofu tu ndy angeweza kusalimika na mitego,,mkuu Lori linachakaa na body yake,,hilo jicho akikuangalia mkuu unajitengua udhu,,wacha mkuu,,huyu mkwe sijuwi alizaa vipi..maana yeye na mke wangu ni kama mtu na Dada yake..hawaja pishana sana...kimaumbile,,,,,mkuu mm nitapata mtihani sana nikimwacha ghafla,,akija kunichukia huyu atahatarisha ndoa yngu..ngoja nimpunguzie dozi...Mara 4 kwa week..naanza hivyo..
 
Mmmmmmh aseeeeeh pole sana una mtihani mzito, kuushinda inahitaji hekima, busara na hofu ya Jah. Mungu awe nawe ktk kujinasua ktk hili jaribu.
 
Umekera watu kinoma mwamba yaani ungejua ungekausha tu hamna aliyefurahia uchafu wako
Ningekujua ningekuripoti kwa bro
 
Back
Top Bottom