Umeshawahi kumpenda mtu kisirisiri halafu hujawahi kumwambia na unafurahi akifanikiwa?

Ushawai mpenda mtu afu Ata hujawai muambia unampenda mtoto wa mammkwe unakaa tu kua proud akioa au kuolewa, akifanikiwa yaan inakua sasa Kama secret well wisher(crush).

NB: Sikushauri ka confess izo mafeelings zitakusumbua 👽👽
Nilimpenda Sikujua akaolewa na Siambiliki..nikafurahi
 
Ushawai mpenda mtu afu Ata hujawai muambia unampenda mtoto wa mammkwe unakaa tu kua proud akioa au kuolewa, akifanikiwa yaan inakua sasa Kama secret well wisher(crush).

NB: Sikushauri ka confess izo mafeelings zitakusumbua 👽👽
It happened to me before ila mimi niliumia sana masela walipobeba mali
 
Ushawai mpenda mtu afu Ata hujawai muambia unampenda mtoto wa mammkwe unakaa tu kua proud akioa au kuolewa, akifanikiwa yaan inakua sasa Kama secret well wisher(crush).

NB: Sikushauri ka confess izo mafeelings zitakusumbua 👽👽
Watu wa aina hio bado wapo dunia hii?
 
Back
Top Bottom