Umeshawahi kupata kazi kupitia Linkedin?

Pm
 
Uko kama mimi mkuu. Sipendi kuzongwa zongwa na mambo yasiyo kuwa na maana kikazi. Nataka nifanye kazi zangu yeye aje aangalie matokeo ndo nimsikilize lakini kuzongwa zongwa hata kazi hujakamilisha anaanza kuleta udwanzi sivumiliagi. Niliacha kazi sababu hii hii.
 
Happy sasa ndipo suala la networkinglinapokuja kuwa msaada.
Umapoluwa unajitolea hakikisha umatengeneza network nzuri Ili ikitokea MTU ana connection hapo ndipo.

Ni kweli sio vizuri ukadanganya kwenye cv maana huwa wanaulizua huko ulikotoka.
 
Yeah
 
Now naona linkedin imekuwa ya moto sana kwangu.

Kila kitu kinakwenda sawia, nimeanza kupata na pongezi za kitu nachofanya.

Viewers wa profile yangu wanaongezeka kila siku hawapungui wa3 kwa siku.

Nadhani itakuwa platform nzuri kwa career yangu.
 
samahan naomba nielekeze ni card ya Aina gani inayoweza kukubalika ili nipate premium linkedin mana nikijaribu card yangu inaniambia invalid
 
Ebu jaribu kutumia airtel money, mimi kila nikiingia kujaribu inaniomba nitumie airtel money !

Jaribu kuweka pesa airtel money na u select hiyo njia.

Unajilipuwa mkuu 76,000/= per month sio poa!!
 
Unatumia card gani; binafsi natumia card ya equity kwa transaction zangu zote za online
 
Ebu jaribu kutumia airtel money, mimi kila nikiingia kujaribu inaniomba nitumie airtel money !

Jaribu kuweka pesa airtel money na u select hiyo njia.

Unajilipuwa mkuu 76,000/= per month sio poa!!
Asante em nijaribu hiyo maana pia nilijaribu Voda ila nikifika njiani nakwama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…