Umeshawahi kupata kazi kupitia Linkedin?

Umeshawahi kupata kazi kupitia Linkedin?

Nilitafutwa na client kazi ya transcription (Google Loft tool) lugha Chichewa na Kilingala.Ilikua ni kazi ya pesa ndefu ila Wamalawi Waka iangusha online gig kwao wanaona ni utapeli.Nikasubcontract kazi Kwa Mkenya at least nikaingiza vidola kadhaa.Client bado nipo naye na kuna kazi za translation nazipata.Kikubwa tengeneza profile nzuri tu.Adios
Pm
 
Ongezea na number 5

Kukosa uvumilivu - hiki hata mimi ni muhanga siwezi kuvumilia mtu anaenizingua kazini awe boss awe HR awe Manager awe Supervisor akinizingua siangalii cheo chake lazima tutazinguana tu, na kimeendelea kuni-cost I can't tolerate stupidity
Uko kama mimi mkuu. Sipendi kuzongwa zongwa na mambo yasiyo kuwa na maana kikazi. Nataka nifanye kazi zangu yeye aje aangalie matokeo ndo nimsikilize lakini kuzongwa zongwa hata kazi hujakamilisha anaanza kuleta udwanzi sivumiliagi. Niliacha kazi sababu hii hii.
 
Mkuu kuna mashirika hayana hela kila mwaka yanaomba wadhamini yakakosa na unajitolea kwa sababu ndo wana ruhusu nafasi hizo unaenda nae hata miaka mitatu kibishi sometimes unabadili upepo na ni lazima kwenye CV uandike. Sio kwamba hawajakukubali bali hawana hela na unajionea mwenyewe kuwa hakuna hata mmoja alieajiriwa.

So mazingira ni mengi ya kufanya muda mrefu na usiajiriwe na ukaenda sehemu nyingine wakachukuwa ile kama udhaifu kwako kwa sababu pengine hawakupi hata muda wa kueleza kwa nn umekaa miaka mitatu bila kuajiriwa na sidhani kama ni sahihi KUDANGANYA kwenye CV kusema uliajiriwa wakati ulikuwa volunteer!
Happy sasa ndipo suala la networkinglinapokuja kuwa msaada.
Umapoluwa unajitolea hakikisha umatengeneza network nzuri Ili ikitokea MTU ana connection hapo ndipo.

Ni kweli sio vizuri ukadanganya kwenye cv maana huwa wanaulizua huko ulikotoka.
 
Yeah
 
Now naona linkedin imekuwa ya moto sana kwangu.

Kila kitu kinakwenda sawia, nimeanza kupata na pongezi za kitu nachofanya.

Viewers wa profile yangu wanaongezeka kila siku hawapungui wa3 kwa siku.

Nadhani itakuwa platform nzuri kwa career yangu.
 
Jitahidi ku add watu wengi unaofahamiana na wale wanaofahamiana nao. Hata kama humfahamu we tu, a request, wengi wawe was fani yako.

Cha mhimu zaidi cv yako yote iweke pale, elezea uwezo wako na uwe na bio nzuri.

NB: usije kuweka taarifa zisizo za ukweli.

Sujui kama nimekujibu kama ulivyouliza?
samahan naomba nielekeze ni card ya Aina gani inayoweza kukubalika ili nipate premium linkedin mana nikijaribu card yangu inaniambia invalid
 
samahan naomba nielekeze ni card ya Aina gani inayoweza kukubalika ili nipate premium linkedin mana nikijaribu card yangu inaniambia invalid
Ebu jaribu kutumia airtel money, mimi kila nikiingia kujaribu inaniomba nitumie airtel money !

Jaribu kuweka pesa airtel money na u select hiyo njia.

Unajilipuwa mkuu 76,000/= per month sio poa!!
 
samahan naomba nielekeze ni card ya Aina gani inayoweza kukubalika ili nipate premium linkedin mana nikijaribu card yangu inaniambia invalid
Unatumia card gani; binafsi natumia card ya equity kwa transaction zangu zote za online
 
Ebu jaribu kutumia airtel money, mimi kila nikiingia kujaribu inaniomba nitumie airtel money !

Jaribu kuweka pesa airtel money na u select hiyo njia.

Unajilipuwa mkuu 76,000/= per month sio poa!!
Asante em nijaribu hiyo maana pia nilijaribu Voda ila nikifika njiani nakwama
 
Back
Top Bottom