Umeshawahi kupendwa na Mwanamke usiyempenda?

Kijana wa masandale hukupata zali la usangeni?
 
Thanks

Huu wimbo sitausahau....

Maana binti WA watu sijui alinipendea nn
Hata mimi mtu akiniambia ananipenda huwa najiuliza amenipendea nini, kwahiyo huwa nahisi kama kila anayeniambia ananipenda ananidanganya tu, ndio sababu sitaki kuhangaika na mtoto wa mtu nisije nikaingia mzima kumbe mtu alikuwa anataka kupoteza zake muda tu
 
Ni kweli, kuepuka kuingia mkenge...
 
Mzeee dhambi hii 1000plus hii sio dara paka tabora hivi


Mwambie ukweli
 
Ety kuna mtu anasema nilivo kua shule πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ utoto utoto tuu....

Mi kiufupi wote naokua nao siwapendi ila wenyewe ndio wanapenda....πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
Mashangazi πŸ™Œ
 
Kiujumla nakaa na mwanamke ambae uvumilivu wake hkn mfano na aitokei anajua simwelewi lkn love aliyo nayo kwangu siwez simultaneously MUNGU anajua kwanza

Anamlea mwanangu nishalala sana nje amekaa sana na njaa anasema niruke ruke weeeh nikichoka niseme lkn awez kuniacha

Nadhani sabb kuu ya hii yote ni kwamba huwa sina hbr nae lkn huwa NAMTOMB* sana vzuri yaani then napita hv.

Kuna wadada wanapenda nyie acheni tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uli skonga wap mkuu😁😁 pale ni kiumeni mkuu ,hakuna maji wala kuoga ila tulikua tukipata mitoko na shule ya kike tuna waka kinyama.
Sisi tulikua watoto mjini wewe😁nyie pale hamna shule za maana za dadaz, sisi tulikua tunaita Ashira, Weru weru, Mawenzi, majengo, Machame, Msufini oyaaa 😁😁hzo bahasha, hlo disco nkikumbukaga aiseee acha tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…