Umeshawahi kupendwa na Mwanamke usiyempenda?

Umeshawahi kupendwa na Mwanamke usiyempenda?

Niliyenaye kwa sasa . Yani najaribu kujilazmisha nimpende lakini wapi . Kiufupi unafki mimi siwezi. Najitahidi mno kumwonesha na mpenda lakini bado sana najisahau hata wiki mbili hatafutwi na nikijitetea kidogo tu anaelewa yaani hata mwezi na inapita yeyetu ndio ananitafuta.

Huyu mwanamke ni mzuri tu. Kielimu yupo vizuri ana adabu na heshima kama zote .
Nimejaribu njia nyingi sana akate tamaa lakini wapi. Nimezaa na mwanamke mwingine nimemwambia ili aniache lakini wapi.

Kwa sasa najitahidi tu kumpa siri ya navutiwa na vitu gani sana kwa mwanamke ili avifanye au kuvaa ili nidate
Lakini bado sijui kama atatoboa .

Hivi huyu nikimwoa sinitamtesa sana maana yeye kachizika ila mimi hamna kitu japo ni mrembo na ana shepu
Kuna wimbo mmoja unaimba

Cause you only need the light when it's burning low
Only miss the sun when it starts to snow
Only know you love her when you let her go
Only know you've been high when you're feeling low
Only hate the road when you're missing home
Only know you love her when you let her go
And you let her go


Sijui kaimba Nani....

ephen_ nisaidie Kama unaujua
 
🤣na sisi tunaoitana bestie tupo kwenye kundi hilo?
Dooh kweli dunia yaenda resi kumbe kuna na mnaoitana bestie tena

I'm in love with my bestie and I don't know what to do
Sometimes I dey feel say she dey feel the same way I do
But she dey call me brother
I no dey bab that thing
'Cause sometimes we dey act like lovers
Wey we dey do more things

Haha mkuu umenikumbusha huo wimbo unaitwa Bestie wa Abochi
 
Kuna wimbo mmoja unaimba

Cause you only need the light when it's burning low
Only miss the sun when it starts to snow
Only know you love her when you let her go
Only know you've been high when you're feeling low
Only hate the road when you're missing home
Only know you love her when you let her go
And you let her go


Sijui kaimba Nani....

ephen_ nisaidie Kama unaujua
Kaimba Passenger Unaitwa Let Her Go 🙂🙂
 
Mwaka 2002 niliwahi pendwa na binti ambaye niliamua kutuliza kiu yake.
Baada ya hapo siaonana naye mpaka leo lkn vurugu alizonazo kunisaka utadhani nilimpa mimba.
Ni piga block,hata baada ya miaka 6 ikitokea nikabadili simu akinitafuta lazima anipate na malalamiko mengi.

Miaka ya 2016 nikiwa Tanga kumbe yeye alikuwa Arusha,acha atume nauli kila baada ya miezi miwili,zikaliwa na kuliwa.

Nikapiga block,mwaka jana kanisaka tena, nilivyomtambua tu nika block.
Ulimpa nn???

Kindly usimtendeee hivyo
 
Back
Top Bottom