Umeshawahi kupendwa na Mwanamke usiyempenda?

Umeshawahi kupendwa na Mwanamke usiyempenda?

Ilishawahi nitokea , kuna wadada wawili walikua barabarani mmoja ni mkali kinyama ndie nilie mpenda wa pili ni mmasai mmoja mwenye sura yake personal.

Lengo langu niwafuate niombe no ya yule pisi ,ili kutomfanya yule mwingne asijiskie vibaya nikajifanya kuomba no zao wote, mbaya zaidi asiye kwenye lengo ndio akajitia kiherehere cha kunipa no ,yule pisi yeye kimya tu , nikaichukua kishingo upande ,,nikajua kwa sababu ni marafiki naweza pata ukaribu na huyo, ila lengo nisijempoteza yule pisi kupitia mwenzake.

Kufupisha tu ni kwamba yule dada wa kimasai aliniganda hatari zaidi ya mwaka , ili kutomfanya asijisikiie vibaya sikudhubutu kumwambia ukweli , nikawa nawasiliana nae kishingo upande ,alipo kuja kuharibu zaidi alinitambulisha kwa yule pisi kama mimi ni mtu wake, na ile pisi ikawa inaniita shem.

Hali ilizidi kuwa mbaya zaid pale nilipotambulishwa umasaini ikafika hatua mpka kaka wa binti walipo diriki kutamka watanipa n'gombe 100 .

Kilichonifanya nikaingia mitini kabisa ni pale binti alipo fikia hatua ya kutaka kunitunuku zawadi ya bikra yake na akaniambia hiyo kwao ni zawadi kubwa kabisa ya kimila .

MpKa Leo sikuwahi kukutana na pisi kali kama yule rafiki wabinti wa kimasai , nilikuja kupata fununu karudi kwao Rwanda baada ya kumaliza masomo yao pale KCMC .
Kumbe we mkali wa MIZAGAMUOOO
 
Kwenye maisha kuna muda wanaume tunapendwa na wanawake tusio wapenda kwa mfano kwangu mimi niliwaigi kupendwa na mwanamke nisiye mpenda kiasi kwamba hadi aliniomba namba za simu ili tuwe tunawasiliana.

Mwanamke mwenyewe alikuwa mzuri tu, kwahiyo sikumkatalia nilimkubalia kiubishi bishi lakini kutokana na matendo yangu alijua simpendi lakini hakuniacha, ila mbeleni nilimchana ukweli kama simpendi tukaacha but aliumia sana na mimi sikujali nikapotezea, sasa cha ajabu baada ya muda mrefu kupita ni kaanza kumpenda lakini kwa sasa ameshaolewa ila bado ananipenda nasiwezi kumludia kwasababu kaolewa.

Je, na wewe ushawahi kupendwa na mwanamke usiyempenda? Kama umewahi tueleze ilikuwaje na nini uliamua.
Ndiyooo
 
Ki ukweli mke ninaye ishi naye sijawahi kumpenda , sababu zinazo fanya niwe naye ni -
  • Anaheshima
  • Ana care
  • Aliwahi kujitoa kumuongezea damu bibi yangu na kumuhudumia mpaka kumuogesha kipindi bibi anaumwa
  • Kuna kipindi alifuma sms nikiwasilana na mwanamke mwingine,ALIKUNYWA SUMU ila tulimuwahi.
  • Wazazi na ndugu huwaambii kitu kuhusu huyu mwanamke.
  • Nimezaa naye mtoto.
*Tatizo kubwa ni Mimi Sina upendo naye .

Mkuu… kusema hivyo ni sawa sawa na kusema “ninalala na mzoga huu wa mbwa kwa7b angali hai alikuwa anasaidia kulinda mali za majirani, ila mi mzoga huu hata siupendi”. 😁😁😁
 
Sitasahau enzi zile Nesi Mmama mtu mzima kanizidi miaka zaidi ya kumi...Akiniita lodge kule jeshini kibangu ndani ndani analipia yeye kuanzia lodge , misosi, Pombe enzi zile nilikuwa mnywaj wa nyagi na Nauli ya boda ya kunirudisha Hosteli Mabibo. Nilikuwa simpendi hata kidogo ili isimame mpaka nilewe[emoji3][emoji3]

Ujana ni nyokoo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah
 
Back
Top Bottom