Umeshawahi kupiga One katika levo yoyote ya elimu? Tukutane hapa

Yeah ukisoma Sana hutumii nguvu nyingi kupata basic needs,unaweza kuwa huna biashara kubwa wala hela nyingi ila ulizonazo hutoi jasho jingi Sana kuzipata ,zinaingia kwenye Account unakula zinaingia zingine hahaha
 
Nilipataga one miaka hiyo nina A ya kiswahili advance nikaenda PCB chuo nikasoma bachelor of Medicine and Sugery nikaacha nikahamia SUA saivi ata sijui niko wapi!!
 
Ukitaka kujua kuwa wewe peke yako hukupata one fuatilia Uzi huu.

Kuna jamaa nimesoma nae Azania akapata div zero nimeona reply yake page ya 16 kuwa alipata one Tena single digit
 
Hahah na One yangu ya 9 PCM ila mambo bado hayaeleweki acha Kazi iendelee chini ya Mama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…