Umeshawahi kurudiana na ex wako na penzi likanoga kama zamani?

Kuna pimbi mmoja nilimpiga kibuti (sijawahi kuachwa huwa naacha)baada ya miezi mitatu kupita tukajikuta tena pamoja sijui aliniloga au ni nyege tu,maana nilikuwa naumwa mara akaibuka kunitembelea bila taarifa sijui nani alimwambia tukajikuta mgonjwa mnara ukasoma kwa kasi ya 5G nikapiga kimoya [emoji28]
 
Umeshawahi kuiona movie ya Titanic? Then ukarudia kuiangalia unaweza ukaamin ile meli haita zama? Think deep mzee mliachana kwasababu kuna vtu alvkosa kwako kaenda kuvtafuta kavkosa uko pia ndio karudsha kambi tena kwako Anyway mpe nafas kama moyo wako bado uanahis yeye ndio faraja yako
 
Na kwanini mrudiane?...
Kaa kwa kutulia bro
 
Mkuu una maneno weye....yaani Mara ya Kwanza umeona kabisa meli inazama...ukirudia Tena movie ile ile unakuwa hauamini kuwa itazama.....duuuu sasa hzo ndo illusions au nn mkuu...
 
Hahahahahahahahahah nimeishia kucheka tu.....ngoja nikwambie kitu "Wakati mwingine kumpa mtu nafasi nyingine ni kama vile unampa risasi Tena Ili akumalize kwakua alikukosa mara ya kwanza"
Weka mtazamo chanya japo kidogo mkuu
 

Uasherati sio mpango
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…