Umeshawahi kurudiana na ex wako na penzi likanoga kama zamani?

Mliachana tena
 
Inategemea mliachana vipi,na kwa sababu zipi,kama sababu zilizowatenga hazijakuwa solved mnaweza rudiana n msidumu kwenye huo uhusiano mkaachana tena
Sawa
 
Mwanaume ukiacha kutafuta hela basi jua kinataka nini hiko kichwa cha chini itakusaidia kujua unarudi kwa lipi.

Maoni tu ya nyau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…