Umeshawahi kusaidiwa nini na mganga ukaona kabisa mganga wako fundi?

Upuuuuizi.. Huyo unayemuona fundi mwenyewe hawezi kujisaidia atakusaidiaje zaidi ya kutumia ujinga wako kukushawishi au kukaanga samaki kwa mafuta yake?
Mkuu Mimi bibi yangu mzaa mama alijitibu mwenyewe vidonda vya tumbo Sasa hivi anakula vyakula vyote na Hana vidonda tena yeye sio mganga Hana kibuyu Wala majini ila Kuna aina ya magonywa anaweza kuyatibu Tena Kwa mda mfupi sana Sasa ili kuwahakikishia Hilo nitatoa namba zake Kwa mwenye shida zifuatazo pumu watoto na watu wazima wadada wanaopata mimba zinatoka baada ya muda mfupi vidonda vya tumbo ngiri au mwenye shida ya korodani moja kuvimba vyote nilivyoeleza Nimeshuhudia akiwasaidia watu na wakapona kabisa ndani ya week moja mgonywa wa vidonda ataweza kula maharage week moja pia ishu ya mimba Nina ushahidi usio na shaka kama yupo humu mwenye shida moja wapo nilizotaja Niko tayari kumuungansha nae asipopona aje kunizodoa hapa hapa kwenye huu Uzi yeye anapatikana kilimanjaro ingependeza kama Kuna mtu aliko kilimanjaro nimwelekeze anako ishi Sababu ni maarufu kidogo Kwa ishu hizo note yeye hafanyi Bure anachaji kitu kinaitwa kinda pori sababu yeye ni mkulima anaacha kazi zake anaingia porini kutafuta dawa Hana dawa ya mvuto Hana dawa ya mapenzi Hana dawa ya nuksu hatoi majini Hana limbwata Hana dawa ya utajiri ila yeye ana tibu magonywa Zaid na Hana tamaa
 
Naomba hapa wale watembea kwa sangoma mtoe shuhuda zenu mliyokutana nayo kwa waganga na toka umeanza kwenda Mganga.

Alikusaidia nini ukaona kabisa shida yako imetatuliwa kwa nguvu ya mganga.

Ikiwezekana mtaje mganga alipo na wengine wakauone uwezo wake
Hamna msaada kwa mganga w kienyeji
 
Navosumbuliwa na madonda anapatkana klmanjaro sehem gan
 
alinipa mafuta ya mvuto huyu jamaa, nikiongea na hizi pisi hazichomoi, nikamfuata tena nikamwambia nipe ya biashara akanambia ni hyohyo dogo we unachotakiwa ni kunuia tu unachotaka, aisee we acha tu hii dunia ina maajabu mengi sana
Wapi uko mzee?? Yaani ukiongelesha demu hachomoi?
 
Naomba hapa wale watembea kwa sangoma mtoe shuhuda zenu mliyokutana nayo kwa waganga na toka umeanza kwenda Mganga.

Alikusaidia nini ukaona kabisa shida yako imetatuliwa kwa nguvu ya mganga.

Ikiwezekana mtaje mganga alipo na wengine wakauone uwezo wake
Mimi nina sheikh wangu mmoja hapo Magomeni Mwembe Chai, ni noma kishenzi. Yeye hakopeshi, ukitaka kuua mtu au kumpa mtu laana ya kuokota makopo anakuambia niletee kuku tu au nyama kilo mbili ale na familia yake.....anadedisha mtu bila hata huruma.
 
Kuna rafiki yangu alikuwa ana mapepe sana na mdadisi. Siku moja usiku tukiwa msibani akamwona mtu anachoma ganja, akataka kujaribu kwani hakuwahi kuvuta ktk maisha yake. Sasa sina hakika kama ni madhara ya ganja au lah, ila baada ya siku kama mbili hivi akaanza kuwehuka taratibu. Wehu wake ukawa unamtuma kuhubiri neno la Mungu na kuombea watu. Hali ilivyozidi kuwa mbaya akaanza kuwa mchafu na hatimaye kuokota makopo kabisa. Mama yake alitutuhumu marafiki zake kwa kumloga mwanaye kwa kuwa alikuwa ametuzidi maendeleo. Akaanza kupambana kwenda kwa waganga mbali mbali hadi kufikia kufilisika katika biashara zake na kuuza nyumba. Baadaye alivyoishiwa pesa akakata tamaa na kumwacha mwanaye aendelee kurandaranda tu mtaani. Sasa kuna rafiki yetu alikuwa ndio amehitimu masomo yake ya udaktari wa maswala ya afya ya akili, alipomuona akasema tumpelekee akajaribu kumtibu. Na kweli alifanikiwa na jamaa yetu akapona kabisa, mpaka leo yupo sawa kabisa.
 
Back
Top Bottom