Madame S
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 17,171
- 34,394
nimekuekeleza taya cheki pm yakopm yako umefunga __naomba connection yahuyo babu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nimekuekeleza taya cheki pm yakopm yako umefunga __naomba connection yahuyo babu
kupitia kaka zangu ndio nikawa nawauliza anaendeleaje wanajibu mzima sku hizi havijatibuka ikaishia hivyo lakini yeye na mama yake hakuna aliepiga sim hakuna alieuliza chochote na nachojiuliza waliambiwa kuna dawa zingine ajabu hawajaulizia hata na mimi nimepotezea ni muda mref umepita sasaWatu wa Arusha na ustaarabu ni kushoto na kulia na kupitia hao watu waso na shukrani ndo maana waganga siku hzi wamekuja na gharama plus Uongo Uongo anakupa tibu nusu usipone
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Dadavua kidogoUzi wa kiduanzi huu. Mapita tu. Ila kunam mzee huko Liwalem salaamu zake
Wewe umejuaje?Inalogwa ila system ya kibenki iliasisiwa na Illuminati wa kiyahudi na ndio wanamiliki pamoja na zile familia nyingine za uingereza asilimia zaidi ya 90 ya uchumi wa Dunia nzima.
Hiyo familia iliyoanzisha Banking system inaitwa Rothschild. Tukirud kwenye suala lako la Bank hailogwi ni sawa na mchezaji wa timu ya Mkoa wowote Tanzania. Ambayo haijafuzu hata ligi kuu Ya Bara kutaka kucheza na Real madrid, ama Arsenal.
Dunia ina siri nzito sana sana sana.
Kufunga madeni nilisidiwa huko kigoma lakini watu wa nmb ilibidi nihangaike na kuweka zuio bank hailogwi
kweny milima ya thawi wilaya ya kondoa
[emoji1666] karib home boyWeee njia ya kwetu huko ngoja nije inbox
Kuliko kumlipa mtu haki yake, unaona ni kheri uishi kwa kinga ya uchawi? WaTz roho mbaya sana!
Kuna mtu mashuhuri kwlei enzi za magu aliletewa zengwe, mtadhani nawaseti ila ni true story alienda kwa mtaalam mmoja mimi kumuona sikuamini mama nakutana nae wakati nilizoea kumuona kwenye tv😂Naomba hapa wale watembea kwa sangoma mtoe shuhuda zenu mliyokutana nayo kwa waganga na toka umeanza kwenda Mganga.
Alikusaidia nini ukaona kabisa shida yako imetatuliwa kwa nguvu ya mganga.
Ikiwezekana mtaje mganga alipo na wengine wakauone uwezo wake
Ala kumbe! Basi sawa.Aliyekuja kwenye PM yako imekula kwake. Ila una kipawa kizuri sana cha usimulizi na utungaji wa hadithi
Madame S,naeza pata msaada wa kufika huko, Nina ndugu yangu ana tatizo limempata yaani alikuwa ana akili Sana ila ghafla anatuambia kuwa akisoma kitabu haelewi kitu.kupitia kaka zangu ndio nikawa nawauliza anaendeleaje wanajibu mzima sku hizi havijatibuka ikaishia hivyo.
Nenda Shekh ,msalimie dada siameSijawahi na sidhani kama nitaenda kwa waganga nikaague.
Sina mpango huo.
Acha Nile kibano Cha maisha
Nitashukuru Madame Snaomba nikupm
Thanks, ngoja tukajaribu na huko.tayari nishakutumia ndugu yangu
Mungu awafanyie wepesiThanks, ngoja tukajaribu na huko.