TheForgotten Genious
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 2,087
- 3,156
**** watu mnadharau sana na mamboAliyekuja kwenye PM yako imekula kwake. Ila una kipawa kizuri sana cha usimulizi na utungaji wa hadithi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
**** watu mnadharau sana na mamboAliyekuja kwenye PM yako imekula kwake. Ila una kipawa kizuri sana cha usimulizi na utungaji wa hadithi
alinipa mafuta ya mvuto huyu jamaa, nikiongea na hizi pisi hazichomoi, nikamfuata tena nikamwambia nipe ya biashara akanambia ni hyohyo dogo we unachotakiwa ni kunuia tu unachotaka, aisee we acha tu hii dunia ina maajabu mengi sana
mimi nina babu yangu na uzuri anajulikana sana sana viunga vya mwahako,mwakidila,bagamoyo na mchukuuni hata mwarongo alikotokea mama kimbo wanamjua sana sana ni maarufu
Kisa chenyewe, nina ndugu zagu arusha walikua wana jirani yao anaumwa maradhi ya kuchanganyikiwa, yan vikipanda ni wa kufunga kamba,bas sjui ilikuaje mana ilitokea tu nilimpigia kaka angummoja akanambia sista niko tanga ila niko ndani ndani maramba huku nikimaliza nitakucheki nije nyumbani tukaongea kidogo tukaagana hapo hakunambia kilichomleta tanga bila taarifa ni nini
bas sku ya pili yake akanipigia akaniambia wamemleta mtoto wa jiran yao kwa mganga lakini wapo muda karibu wiki ila hawaoni nafuu yoyote zaidi ya kupoteza pesa hapo wazo la huyo babu yangu halikunijia nikamueleza mama yangu juu ya mkasa wao mama ndio kunikumbusha akanambia kwa nini usiwapeleke kwa babu yako wakajaribu mimi sasa nikamwambia mama mh wasipofanikiwa si yatakua yale yale lakini moyo ukanisukuma wasaidie kuwapeleka
nikampigia kaka nikamwambia kam vipi waje mjini tufunge safar kwa huyo babu kweli walikuja tukaenda tukiwa mimi, kaka zangu wawili,mgonjwa na mama yake,lakini kabla hatujatoka nikampigia babu nikamuuliza kama yupo kuna watu wana shida akanambia nipo njoo tukaenda
tulimkuta nje akatukaribisha ndani tukaingia kilingeni kwake, nikawatambulisha then wakaanza kujieleza shida yao bas babu alichukua tu karatas nakalam akawa anamuangalia yule kijana anaandika akanikabidhi list akanambia hizi ni dawa nazitaka lakini utakayokosa nipigie nendeni maduka ya dawa za asili tena akanambia ziko ghali lakini kazitafteni hizo dawa , tukarudi nyumbani mimi na kaka zangu hao had ngamiani sokoni kuna duka maarufu kwa dawa za asili katika ile list kulikua na mbegu za bangi na dawa kama mbili ambazo wao hawana muuzaji akanambia hizi hatuna, palepale nikampigia babu kumpa mrejesho akanambia nunueni zilizopo hizo nyingine ntazitafuta tukanunua tusirudi nyumbani straight had kwake tukaziacha akasema njoni kesho mje chukua dawa zenu
hio siku jioni yake vikapanda ambapp kesho ndio tukachukue dawa kaka wa watu katoka barabarani ikapita carry akaipanda kwa nyuma, ifahamike huyu kaka ni mgeni, hajawah kufika tanga yeye wala mama yake, hajui anaenda wapi lakini kulikua na watu walimuona wakatupigia kelele yule mgeni wenu amepanda gar inaelekea barabara ya pangani ikabidi kaka zangu wachukue boda kuiwah wakaikuta njiani wakaipigia honi wakasimam wakamchukua mgonjwa wao wakamleta ikabidi afubgiwe chumbani, ni alikua anaongea usiku kucha ukilala ukiamka unamsikia anaongea anaitaja majina yake matatu kwa kurudia rudia kulipokucha baada ya chai tukabebana had kwa babu akapwa za kupaka,za kujifusha za kuoga za kunywa
alitumia mchana na jioni hio siku alilala vibaya mno na kule kwa babu mimi ndio nikawa nauliza tatizo nn babu akajibu huyu ana mtoto wa kijini kichwani sasa alivuta bangi na huyo jini hapatan nazo ndio anamletea hizo shida hakutaka hata mia moja alichojibu akasema akimaliza hizo dawa babu apewe taarifa kuna watu hawana ustaarabu tangu waondoke kurudi arusha had leo kimyaaaaa
Nimecheka sanaAsee nilikua nadaiwa kodi mwenye nyumba kidogo anitolee vyombo nje lakin mpaka leo nadunda tu.
Haji wala hanipigii simu ila mganga kanambia nitafute hela maana hiyo dawa haidumu mi namwambia ikiisha makali nakuja kuongezea
haubi ...thawi ipo mbali sana na masange kama utatembea katkat ya ile milima ni mwendo wa siku nzima bila kupumzika njiani
Kutaja majina na mahali kunaweza kudisclose mambo mengine.Huku kuna story mob lakini hakuna hata mmoja amedhubutu kusema kwa majina fulani bin fula mganga yupo sehemu fulani amemsaidia. Hik ni kidhihirishAHAKUNA ALIYEAAIDIWA KIUKWELI
90%ya Watu maofisini wanarogaBongo ofisi zote mabosi wote wamejaza ndumba ofisin mwao Kila mfanyakazi na mganga wetu
Thus wakistaafu ufa masikini90%ya Watu maofisini wanaroga
Hapa watajifanya watakatifuuu
Trust me wapo sema nimeacha shirk sifanyi Tena kwanza ni kufuru kidini yangu Kwa Sasa niko100%kwa Mungu nikisema nikutajie ntarudi kule kule ila nshawahi saidiwa kuhama na mgangaa,Yaani mmeingia ofisini nilisainiwa bila kuulizwaa,nkatoka nkaipeleka mkoa Nako nikafanya the same bwana uchawi upooo na waganga wapoHuku kuna story mob lakini hakuna hata mmoja amedhubutu kusema kwa majina fulani bin fula mganga yupo sehemu fulani amemsaidia. Hik ni kidhihirishAHAKUNA ALIYEAAIDIWA KIUKWELI
Ntumie hata mmoja tu inbox niende kwake na nije kutoa ushuhuda hapaTrust me wapo sema nimeacha shirk sifanyi Tena kwanza ni kufuru kidini yangu Kwa Sasa niko100%kwa Mungu nikisema nikutajie ntarudi kule kule ila nshawahi saidiwa kuhama na mgangaa,Yaani mmeingia ofisini nilisainiwa bila kuulizwaa,nkatoka nkaipeleka mkoa Nako nikafanya the same bwana uchawi upooo na waganga wapo
Tena wa hapo hapo Dar
Mpk ustaafu Sasa ufike huko koteThus wakistaafu ufa masikini
Hapana sifanyi Sasa hv nimeacha kabisaaaa shirkiNtumie hata mmoja tu inbox niende kwake na nije kutoa ushuhuda hapa
Bilaa shaka ulipiga mbupu[emoji16]
[emoji16][emoji16][emoji16]ukaona laki si kituTembeza sana rungu nafuu kukosa [emoji3][emoji3]
Kuna dawa alinipa ya ku-deneutralize misala job, kila nikiharibu au ikiitishwa vikao naichoma asubuhi nikienda msala unawaangukia wengine tu wanachambwa vilivyo mm kimyaaa hakuna kima yeyote wa kutaja jina langu au wa kuniassociate na chochote hata kama nilishiriki, nikitoka hapo break ya kwanza bar napiga lite tano fasta huku nikitafakari maajabu ya miti aliyoiumba mnyazi Mungu.
[emoji16][emoji16][emoji16]ukaona laki si kitu