TheForgotten Genious
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 2,087
- 3,156
[emoji16][emoji16][emoji16]nafuu ukose mali lakini uwe na masulia [emoji3][emoji3][emoji3]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji16][emoji16][emoji16]nafuu ukose mali lakini uwe na masulia [emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji2][emoji2][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna dawa alinipa ya ku-deneutralize misala job, kila nikiharibu au ikiitishwa vikao naichoma asubuhi nikienda msala unawaangukia wengine tu wanachambwa vilivyo mm kimyaaa hakuna kima yeyote wa kutaja jina langu au wa kuniassociate na chochote hata kama nilishiriki, nikitoka hapo break ya kwanza bar napiga lite tano fasta huku nikitafakari maajabu ya miti aliyoiumba mnyazi Mungu.
[emoji2][emoji1787]Enzi nilivyokuwa mdhambi kuna mganga alikuwa sio poa.. yeye ali-specialize kwenye mapenzi. Ilikuwa demu akinikataa kwa njia za kidiplomasia natumia njia za kimila kwa kumshirikisha mganga. Ilikuwa haipiti 24hrs demu hajanitafuta. Na msichana wangu akitishia kuniacha na kweli nikaona hapa yuko serious nilikuwa naenda chap kwa jamaa na masaa mawili tu mbele demu atanitafuta. Nilikuja kuachana na hayo mambo mwaka 2020 kwasababu nilitaka nipate kitu genuine kilichonipenda mwenyewe bila kumlazimisha.
Nasubiri ushuhuda toka kwa watu wa mwamposaNaomba hapa wale watembea kwa sangoma mtoe shuhuda zenu mliyokutana nayo kwa waganga na toka umeanza kwenda Mganga.
Alikusaidia nini ukaona kabisa shida yako imetatuliwa kwa nguvu ya mganga.
Ikiwezekana mtaje mganga alipo na wengine wakauone uwezo wake.
Usikute ulikuwa unawala hata tigo bila wao kujijuaEnzi nilivyokuwa mdhambi kuna mganga alikuwa sio poa.. yeye ali-specialize kwenye mapenzi. Ilikuwa demu akinikataa kwa njia za kidiplomasia natumia njia za kimila kwa kumshirikisha mganga. Ilikuwa haipiti 24hrs demu hajanitafuta. Na msichana wangu akitishia kuniacha na kweli nikaona hapa yuko serious nilikuwa naenda chap kwa jamaa na masaa mawili tu mbele demu atanitafuta. Nilikuja kuachana na hayo mambo mwaka 2020 kwasababu nilitaka nipate kitu genuine kilichonipenda mwenyewe bila kumlazimisha.
Dar?! Ukutozwa mamilion kweliTrust me wapo sema nimeacha shirk sifanyi Tena kwanza ni kufuru kidini yangu Kwa Sasa niko100%kwa Mungu nikisema nikutajie ntarudi kule kule ila nshawahi saidiwa kuhama na mgangaa,Yaani mmeingia ofisini nilisainiwa bila kuulizwaa,nkatoka nkaipeleka mkoa Nako nikafanya the same bwana uchawi upooo na waganga wapo
Tena wa hapo hapo Dar
Tena Sasa NilIkua Kila nikienda wananikatalia au Bosi anakua hayupo,dogo mmoja akaniambia we sista una michezo ya kitoto Sanaa kesho twende kiwalani ,nikasitaa Mwisho nkaenda after a week nikaeleza shida angu,dogo mganga akasema ,"nipe jina la huyo boas",nkalitaja"akanipa karatasi imechorwa akasema"kesho nenda ila usiingie chooni na hiyo karatasi na ukitoka huko irudishe hapaa"mwamba huyooo shwaaaaa mpk Kwa boss ,sikuulizwa chochote na Mtu yeyote nkaingia nikasainiwa nkairudishwa Kwa mhusika
Nyie watuu wanaroga jamaniii
Mganga wangu alinifanya nisiote kitambiNaomba hapa wale watembea kwa sangoma mtoe shuhuda zenu mliyokutana nayo kwa waganga na toka umeanza kwenda Mganga.
Alikusaidia nini ukaona kabisa shida yako imetatuliwa kwa nguvu ya mganga.
Ikiwezekana mtaje mganga alipo na wengine wakauone uwezo wake.
Hapana.Usikute ulikuwa unawala hata tigo bila wao kujijua
Ujinga wa mwafrika ndo huu, unaacha nguvu inayokusaidia unakimbilia kusiko na msaada halafu unajipongeza.Trust me wapo sema nimeacha shirk sifanyi Tena kwanza ni kufuru kidini yangu Kwa Sasa niko100%kwa Mungu nikisema nikutajie ntarudi kule kule ila nshawahi saidiwa kuhama na mgangaa,Yaani mmeingia ofisini nilisainiwa bila kuulizwaa,nkatoka nkaipeleka mkoa Nako nikafanya the same bwana uchawi upooo na waganga wapo
Tena wa hapo hapo Dar
Tena Sasa NilIkua Kila nikienda wananikatalia au Bosi anakua hayupo,dogo mmoja akaniambia we sista una michezo ya kitoto Sanaa kesho twende kiwalani ,nikasitaa Mwisho nkaenda after a week nikaeleza shida angu,dogo mganga akasema ,"nipe jina la huyo boas",nkalitaja"akanipa karatasi imechorwa akasema"kesho nenda ila usiingie chooni na hiyo karatasi na ukitoka huko irudishe hapaa"mwamba huyooo shwaaaaa mpk Kwa boss ,sikuulizwa chochote na Mtu yeyote nkaingia nikasainiwa nkairudishwa Kwa mhusika
Nyie watuu wanaroga jamaniii
Kama uongo flani hivi.Nilikuwa nasafirisha mkaa mpaka dar bila vibali!
Nikikaa mbele ya gari trafiki na watu wa maliasili hawaioni gari mpaka Dar.
Kwa nin niliacha....with time mganga aliniambia kwa sasa nadaiwa sadaka ya damu ya mbuzi watatu, nikatoa
Baadae akaniambia nipate mimba niitoe nimpelekee.
NIKACHAPA LAPA ILA NILIZULUMIWA HELA, VIWANJA, GARI nikabaki kama mwanafunzi wa secondary
Namshukuru MUNGU nimeanza upya bila ndumba
Nyongeza: Kwa huyo mganga nilikutana na vigogo kadhaa wa mashirika na idara za serikali na NGO ...wakuu wa vyombo vya usalama.
UNAJUA KWA NIN WATU WANANUNUA VX?
UKIONA mtu ana Vx posta anatoka kazini saa 9:30 anakimbia kwa mganga , anajigangua asubuhi saa tisa ,kumi anaanza Safari kurudi kazini.
Nilishangaa kuona VX kibao zikiingia usiku nikawauliza hawa wote ni watoto wa hiki kijiji, mmebarikiwa...jibu hawa ni mabosi na vigogo wa posta.
Dini ya wageni unaita dini yako?Trust me wapo sema nimeacha shirk sifanyi Tena kwanza ni kufuru kidini yangu Kwa Sasa niko100%kwa Mungu nikisema nikutajie ntarudi kule kule ila nshawahi saidiwa kuhama na mgangaa,Yaani mmeingia ofisini nilisainiwa bila kuulizwaa,nkatoka nkaipeleka mkoa Nako nikafanya the same bwana uchawi upooo na waganga wapo
Tena wa hapo hapo Dar
Tena Sasa NilIkua Kila nikienda wananikatalia au Bosi anakua hayupo,dogo mmoja akaniambia we sista una michezo ya kitoto Sanaa kesho twende kiwalani ,nikasitaa Mwisho nkaenda after a week nikaeleza shida angu,dogo mganga akasema ,"nipe jina la huyo boas",nkalitaja"akanipa karatasi imechorwa akasema"kesho nenda ila usiingie chooni na hiyo karatasi na ukitoka huko irudishe hapaa"mwamba huyooo shwaaaaa mpk Kwa boss ,sikuulizwa chochote na Mtu yeyote nkaingia nikasainiwa nkairudishwa Kwa mhusika
Nyie watuu wanaroga jamaniii
Hapana sifanyi Sasa hv nimeacha kabisaaaa shirki
Shirki au sayansi asili.subiri watu wa shirki waje
Ulikutana na shetani moja kwa moja ama?Naomba usinifuatane PM
Niliambiwa sema chochote unachotaka... Utapata
Nikashindwa kusema na ile chance ime-nicost mpaka leo maana wengine waliambiwa waseme wanachotaka wakasema kweli wamepata...
Kuna waliosema wanataka ndoa wameoa na wengine wameolewa mpaka sasa,
Kuna waliosema wanataka kazi wamepata kazi na wanafanya kazi mpaka sasa,
Kuna waliosema wanataka biashara wamepata biashara na wana biashara zao mpaka sasa,
Mimi sikusema chochote maana sikua naamini katika kile kinachofanyika Ila sasa daaah haya Mambo yapo na watu wanafanikiwa kweli.. ukipuuza unakuja kujilaumu mbele