Umeshawahi kusaidiwa nini na mganga ukaona kabisa mganga wako fundi?

Enzi nilivyokuwa mdhambi kuna mganga alikuwa sio poa.. yeye ali-specialize kwenye mapenzi. Ilikuwa demu akinikataa kwa njia za kidiplomasia natumia njia za kimila kwa kumshirikisha mganga. Ilikuwa haipiti 24hrs demu hajanitafuta. Na msichana wangu akitishia kuniacha na kweli nikaona hapa yuko serious nilikuwa naenda chap kwa jamaa na masaa mawili tu mbele demu atanitafuta. Nilikuja kuachana na hayo mambo mwaka 2020 kwasababu nilitaka nipate kitu genuine kilichonipenda mwenyewe bila kumlazimisha.
 
[emoji2][emoji2][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji2][emoji1787]
 
Nasubiri ushuhuda toka kwa watu wa mwamposa
 
Usikute ulikuwa unawala hata tigo bila wao kujijua
 
Kwa kweli haya mambo Huwa nayasikiaga tu kwa watu,ila binafsi sikuwahi kuvutiwa nayo wala kuyaamini!

Nimekuwa nikipambana na nyakati zote mbaya,misukosuko,njaa,mahusiano nk

Nimekuwa nikijifariji nafsi yangu kwamba hapa duniani mateso ni sehemu ya maisha na Mimi sio hat mtu wa dini na wala sikumbuki mara ya mwisho kwenda kanisani!

Maisha nayoishi naona yananifaa sana
 
Dar?! Ukutozwa mamilion kweli
 
Mganga wangu alinifanya nisiote kitambi
 
Kuna Dem alikula pesa Zangu alafu akakataa kutoa mzigo na mbaya zaidi akenda kuliwa na msela flani boya tu. Nikasema sio kesi ngoja tuoneshane makali. Nikaenda kwa jembe Langu moja tukamfinga chini ya jabali. Mpaka Sasa hajaolewa amefikisha 40 mpaka namuonea huruma.
 
Ujinga wa mwafrika ndo huu, unaacha nguvu inayokusaidia unakimbilia kusiko na msaada halafu unajipongeza.

Kibaya kudhuru
 
Kama uongo flani hivi.
Hii umetupiga kimtindo,
 
Dini ya wageni unaita dini yako?
Utakufa maskini kwa utumwa wa tamaduni.
Dini ni utamaduni tu, kuna wa mwarabu, myahudi, muhindi, mzungu na mwafrika.
Utamaduni wa mwafrika wageni wakauita upagani.
 
Ulikutana na shetani moja kwa moja ama?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…