Umeshawahi kusaidiwa nini na mganga ukaona kabisa mganga wako fundi?

Nilienda kwa mganga ni sheikh yupo migo migo kusema ukweli hakunisaidia kupata ajira ndio kwanza mambo yalizidi kuwa meusi.

Ila dawa zake ukichoma na ukioga wanawake unafanya kuwakimbia simu zinaita kutwa nzima na mtaani mpaka unatongozwa. Demu alikupiga kibuti miaka imepita unaona annanzisha convo inbox

Sema ilinikuta sina nguvu nikawa nawapotezea ingekuwa enzi zangu nna mkwanja sijui ingekuwaje.
 
Ilikuwaje Bakwata ikamtambua sheikh yahya hussein
 
Nakuhakikishoa atakapokufa huyo Bibi yako hayo majini na mamizimu anayoyatumia yatawahangaisha sana nyie watoto na wajukuu zake!
Mtalipa sana kwa ajili ya hayo madude ya bibi
 
Migo migo pale sehemu gani
 
Aliyekutengenezea Yuko wapi
 
Nakuhakikishoa atakapokufa huyo Bibi yako hayo majini na mamizimu anayoyatumia yatawahangaisha sana nyie watoto na wajukuu zake!
Mtalipa sana kwa ajili ya hayo madude ya bibi
sijawai kusikia ana mizimu wala majini
Yeye hutuambia ni dawa za asili alifundishwa akiwa mdogo kusaidia kupata mifungo iliopotea , kuikinga mifugo dhidi ya wanyama wakali
na kujua mtu aliekwenda safari ya mbali kama bado yupo hai ama alishakufa

Dawa hizo pia hutumika kuwaita watoto waliokwenda mjini kutafta maisha na kusahau kurudi kijijn kusalmia wazee ,unambiwa ukifanyiwa hizo dawa utatafta kila njia urudi kwenu hata kwa mkopo ama kutembea kwa mguu

Na kuna ingine alinambia ikitokea hataki mtoto wake aende kutafuta maisha mbali na nyumban anachota unyayo wake anamix dawa na kwenda kuufunika na chungu
kuanzia hapo aliefunikwa hawez hata kufikiria kusafiri wala kwenda kuishi mbali na nyumbani.
 
Aah ww nilimsindikiza rfk angu mganga kapandisha mashetani sijui madude gani nilikimbia vby mno weeeh hakuna cha mganga wala nin hapa duniani zaid ya Allah.
 
Hivi mkuu mfano tu nikaenda kufungua yard kisarawe ya magari kule wanapolima mihogo sana alafu nimwambie mganga anipatie dawa ya kuvuta wateja wanaweza kunifata mpaka huko[emoji23][emoji23] mana nasikia hizi dawa hatari

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] labda wakufate mizimu na majini ….hlo swal mganga angekuweka kibao [emoji23][emoji23][emoji23]
 
😂😂😂😂nimecheka kweli yaan
 
Hivi mkuu mfano tu nikaenda kufungua yard kisarawe ya magari kule wanapolima mihogo sana alafu nimwambie mganga anipatie dawa ya kuvuta wateja wanaweza kunifata mpaka huko[emoji23][emoji23] mana nasikia hizi dawa hatari
Watakuja ilimradi kuna biashara zinafanyika wateja utapata tu, Matajiri wa mihogo ndiyo wateja wenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…