Umeshawahi kusaidiwa nini na mganga ukaona kabisa mganga wako fundi?

Mmmh kuna harufu ya chai SAS uendelezi unataka kuombwaa

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Kuomba nini sasa? Siendelezi sababu sio jambo la kufurahisha wala kujivunia, hapo kuna sehemu unaona kabisa sikufanya uungwana. Kwa mara yangu ya kwanza naiba, unadhani nilipenda kumuibia mganga Mkuu? Au ni sehemu ya maisha yangu? Hapana nilifanya upuuzi ule ambao umekuja nikost kwa Miaka, nimesema siendelei sababu najutia nilichokifanya na kinaniumiza mpaka leo hii. Sasa ni hivi kama unahisi ilikuwa ni rahisi kiivyo, baada ya boti kuzama kila tulichokuwa nacho kilibaki ndani ya maji. Na hata kuokoka humo ilikuwa ni miujiza tu. Unajua tulikuwa tukienda wapi? Ni safari iliyochukua zaidi ya miaka 3 kufika tulikotaka kufika. Sipendi kuendelea sababu kuna Mengi, ya kufurahisha, kusikitisha, kuchukiza na kuogopesha pia. Destination ilikuwa Canada imagine.
 
Mkuu ungetulia ukatuandikia yote kama hadithi. Ingetusaidia na kujifunza mambo mengi.
 
Shirki ni utumwa.
 
Aaaah bro tunaomba uendeleee mkuuu pliiiiiiiiiiz tunaomba.
 
Mimi nilipoanza kuelewa kuwa kuna malue malue

Ni kile kipindi cha vurugu baada ya uchaguzi nchini Kenya. Katika mkoa wa mombasa napo vurugu zilitokea na maduka kuvunjwa na wizi kufanyika.

Sasa kuna vijana wakajidanganya kwenda kuiba thamani na vitu vingine kwenye maduka na nyumba. Mbona baada ya muda mfupi walikuwa wanarudi navyo wamevibeba mkononi na mgongoni.

So mimi naamini kuna nguvu za kiroho kwa upande wa pili wa uwezo wetu.
 
Yupo bibi anatibu vidonda vya tumbo pamoja na wale wadada ambao wakipata mimba zinatoka au hawapati mimba nilimpeleka jamaa alikuwa anaumwa pumu ikimbana mpaka sindano ndio apate nafuu alitumia dawa week akapona kabisa ajabu hakuwahi kumpa hata soda yule bibi Sasa sijui huu ni uganga au niiteje
 
Kaka waty wa jf unakua la huwajui ujuaji mwingi mnoo as wao wanakujua kuliko unvyojijua weye mwenyewe wapotezee hao
 
Tz ushirikina, wizi, rushwa! Nchi haitakaa iendelee!
 
Asee nilikua nadaiwa kodi mwenye nyumba kidogo anitolee vyombo nje lakin mpaka leo nadunda tu.

Haji wala hanipigii simu ila mganga kanambia nitafute hela maana hiyo dawa haidumu mi namwambia ikiisha makali nakuja kuongezea
Kuliko kumlipa mtu haki yake, unaona ni kheri uishi kwa kinga ya uchawi? WaTz roho mbaya sana!
 
Acha uzwazwa. Ingekuwa hao waganga hawasaidii chochote wangekuwa wameshafunga shughuli zao maana wangekosa wateja. Ukiona duka linashamiri ujue wateja wapo na wanafurahia huduma za muuzaduka.
 
DUh kama ni kweli basi ni hatari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…