Umeshawahi kutongoza demu kama leo halafu kesho ukapiga mzigo

Umeshawahi kutongoza demu kama leo halafu kesho ukapiga mzigo

IMG-20250815-WA0028.jpg
 
Mimi hawa hua naendaga na tahadhari mapema kabisa tena navaa mbili kabisa
Hua nafikiria hivi wangpi wamepita kama jana tu na leo kanipa mzigo?

Wewe vipi mdau ulishawahi
Mi nilishawahi kumla demu kimasihara hivyo, nilimwogopa balaa. Lkn hasubuhi akawa anaisist ye sio Malaya, yule.demu alikuja nisaidia issue Moja kimawazo, anae akili balaa...nilijikita nimezaa nae watoto wawili. December mwaka huu nabariki nae ndoa st Theresa Arusha
 
Mimi hawa hua naendaga na tahadhari mapema kabisa tena navaa mbili kabisa
Hua nafikiria hivi wangpi wamepita kama jana tu na leo kanipa mzigo?

Wewe vipi mdau ulishawahi
Kuna wakati utafika unajikuta umepiga bila kusema chochote na maisha yanaendelea.
 
Mimi hawa hua naendaga na tahadhari mapema kabisa tena navaa mbili kabisa
Hua nafikiria hivi wangpi wamepita kama jana tu na leo kanipa mzigo?

Wewe vipi mdau ulishawahi
Nyie ndio mnafanya tusipewe mbususu. Wewe mwanamke kashakubali kukupa mbususu sasa mambo ya wangapi wamepewa inakuhusu nini mbususu sii yake.
Wee umeitamani umepewa kula hiyo kitu acha maneno mbofu mbofu
 
Back
Top Bottom