Umeshawahi kutongoza demu kama leo halafu kesho ukapiga mzigo

Umeshawahi kutongoza demu kama leo halafu kesho ukapiga mzigo

Mi nilishawahi kumla demu kimasihara hivyo, nilimwogopa balaa. Lkn hasubuhi akawa anaisist ye sio Malaya, yule.demu alikuja nisaidia issue Moja kimawazo, anae akili balaa...nilijikita nimezaa nae watoto wawili. December mwaka huu nabariki nae ndoa st Theresa Arusha
All the best mkuu
 
Unakutana nae Leo, unapiga Leo Leo! Yes inawezekana kabisa!

Note madem wa hivi sio standard kabisa utabeba magonjwa na ma UTI

Barmaids
Vibinti mama ntilie
Singo maza wa mtaan ambao hawana raman
Vimalaya vile vya mtaan vya kimya kimya
 
Karibu chama la bachelor, ukinipenda, namaliza leo leo tu.....alijisemea Kiba
 
Mimi hawa hua naendaga na tahadhari mapema kabisa tena navaa mbili kabisa
Hua nafikiria hivi wangpi wamepita kama jana tu na leo kanipa mzigo?

Wewe vipi mdau ulishawahi
Mkuu mambo ni mingi na muda ni mchache. Hivyo mambo ni chaaaap kwa haraka.
 
Unaweza kukaotea na kenyewe kana nyege mm huwa sijari nakanyagia kibati tu tena mademu wachoyo wachoyo siwataki kbs
 
We e
Punguza uvivu, Tafuta pesa! Mwanamke hatongozwi unapokuwa na pesa!

Kutongoza wanatongoza wavulana!
We endelea kupiga nyeto tu mkuu hizo hela tushazitafuta zamani wkt wewe hujazaliwa
Punguza uvivu, Tafuta pesa! Mwanamke hatongozwi unapokuwa na pesa!

Kutongoza wanatongoza wavulana!
Tatizo umekua addicted na mishangazi🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom