Umeshawahi kutongoza demu kama leo halafu kesho ukapiga mzigo

Umeshawahi kutongoza demu kama leo halafu kesho ukapiga mzigo

Nimetongoza leo na kupiga leo shida iko wapi na ajabu iko wapi
Wakati unamuomba si anacho kwenye chupi iweje aseme kesho au baadae?
Usikuze mambo bwana mdogo
 
Mimetongoza leo na kupiga leo shida iko wapi na ajabu iko wapi
Wakati unamuomba si anacho kwenye chupi iweje aseme kesho au baadae?
Usikuze mambo bwana mdogo
..exactly, danadana haiongezi thamani ya jigijigi
 
Mimi hawa hua naendaga na tahadhari mapema kabisa tena navaa mbili kabisa
Hua nafikiria hivi wangpi wamepita kama jana tu na leo kanipa mzigo?

Wewe vipi mdau ulishawahi
Acha uwoga mkuu. Kula maisha, kufa kwaja!
 
Mimi hawa hua naendaga na tahadhari mapema kabisa tena navaa mbili kabisa
Hua nafikiria hivi wangpi wamepita kama jana tu na leo kanipa mzigo?

Wewe vipi mdau ulishawahi
Kuvaa mbili hiyo ni sawa na kufanyiwa masturbation na mwanamke, ukizingatia matumizi sahihi ya condom, moja inatosha na ni salama
 
Tubuni kwa maana ufalme wa Mungu umekaribia(Mt 3:2).
Waasherati na wazinzi, Mungu atawatupa katika moto wa milele(1 Kor 6:9-10)
Ufalme uko hapahapa duniani, huko kusikojulikana ni FICTION

Bibilia inasingiziwa mambo mengi sana, PARADISO ni hapa tulipo duniani, siyo juu ya mawingu
 
Analipwa kwa kazi yake hatupambanii sisi anapambania maisha yake
Ambapo gharama ya risasi moja inakuaga ni shilingi ngapi,kwa mtu kama Lissu ambaye alipigwa hadi risasi 16 akapona?
 
Mimi hawa hua naendaga na tahadhari mapema kabisa tena navaa mbili kabisa
Hua nafikiria hivi wangpi wamepita kama jana tu na leo kanipa mzigo?

Wewe vipi mdau ulishawahi
Sana tu we piga mzigo bhasi.
 
Unakutana nae Leo, unapiga Leo Leo! Yes inawezekana kabisa!

Note madem wa hivi sio standard kabisa utabeba magonjwa na ma UTI

Barmaids
Vibinti mama ntilie
Singo maza wa mtaan ambao hawana raman
Vimalaya vile vya mtaan vya kimya kimya
Kitasengwa
 
Mimi hawa hua naendaga na tahadhari mapema kabisa tena navaa mbili kabisa
Hua nafikiria hivi wangpi wamepita kama jana tu na leo kanipa mzigo?

Wewe vipi mdau ulishawahi

Unaweza ukacheleweshewa mzigo nanukawahishwa ahera...
 
Back
Top Bottom